Dkt. Vicencia Shule: Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini. Hata vijana wa bongo movie wangeweza kuitengeneza

Dkt. Vicencia Shule: Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini. Hata vijana wa bongo movie wangeweza kuitengeneza

Sasa watu wanadanganya watu wazima kuvua samaki kwa mtindo ule unafikiri kuna filamu pale. Nacho kiona sasa iyo ililetwa kama proposal na huyo mzungu ikiwa na bajeti, serikali wakapitisha mzungu akajikamatia fedha yake.

Inashindwa ata na kile kipindi cha tvt, au tbc miaka iyo kinazungumzia ruaha, serengeti, viboko wanavyokulq nyumbu. Utasikia “mto ruaha ukauka”
 
Ubora wa picha wewe inaijua!!?..mtu wa Hollywood atengeneze filamu yenye ubora duni,filamu anoyoenda kuuza Hollywood!?
Nani alikwambia watu wote wa Hollywood ni ma producer or movie directors?
Heb tupe jina na CV la huyo movie director wa Hollywood alieproduce movie yetu.
Na kwakua umesema filamu inaenda kuuza Hollywood itakua vyema zaidi km utatupa distribution company iliyopewe kandarasi hio.
 
Naona tuwape warner bros au Colombia....
 
Nani alikwambia watu wote wa Hollywood ni ma producer or movie directors?
Heb tupe jina na CV la huyo movie director wa Hollywood alieproduce movie yetu.
Na kwakua umesema filamu inaenda kuuza Hollywood itakua vyema zaidi km utatupa distribution company iliyopewe kandarasi hio.
CV si utafute mtandaoni,mbona x unamtafuta!?..Amazon ni miongoni mwa platform za kusambazia hiyo movie,Kama kila movie ingeuzwa Hollywood Basi za wanaijeria zingeingia,lakini Hollywood walishasema hazina ubora wa kuingia hollywood
 
Iyo kama anajua 4k au hajui sio hoja kwa haraka haraka 7 bilion ya tzs ni sawa na dola 3,026,139.90 ebu ne da kaangalie mv yenye iyo budget au documentary yyt yenye iyo budget alafu linganisha iyo 4k yako kama zitaendanaaaaa, uyo kaongea kitu cha msingi sanaaaa ni ukweeel kbs usio fichika
We unadhani Hollywood filam zinatengenezwa kwa Bei gani!?..Kama muigizaji analipwa bilioni 70+ za kitanzania,unadhani production crew inalipwa bei gani!?..halafu wengi wenu mnadhani ubora ni rangi kukolea
 
Ubora ni kitu gani tufafanulie.

Muigizaji huwa anapata pesa nyingi baada ya mauzo.

Ila bajeti ya kutengeneza inaweza kuwa ndogo tu.
 
CV si utafute mtandaoni,mbona x unamtafuta!?..Amazon ni miongoni mwa platform za kusambazia hiyo movie,Kama kila movie ingeuzwa Hollywood Basi za wanaijeria zingeingia,lakini Hollywood walishasema hazina ubora wa kuingia hollywood
Poa sio issue tupe jina tutaiftafta CV yake.
By theway Amazon ni platfom ya kuuza vitu aka duka mtandaoni km ilivyo ebay or alliepress na sio movie distribution company ht ww unaweza kujisajili amazon ukauza bongo movie or bidhaa zako huko.
Unazungumzia movie za kinajeria kuuzwa amazon, heb fungua amazon.com then kwenye searchbar andika nigerian movies uone zinavyokuja km zote.
Acha kujifanya unajua while hujui kitu.
 
Hapa inatakiwa ubishe kwa facts sio kila kinachowekwa Hollywood ni bora kuliko vyote. Dokta anasema ubora wake sio mkubwa kulinganisha na ubora wa filamu zinginde za nyakati hizi. Mfano hata filamu za anold , Rambo na Van damme zilikuwa bora kwa wakati wake na zikaoneshwa Hollywood lakini ukiziangalia leo ni low quality
Unapima predator ya Arnold ya 1988,blood sport ya Damme ya 1988 na hd/4k ya leo!!?..yaani miaka 34 unaona si lolote!!
 
Back
Top Bottom