Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Hapo hata kushika kamera hajui,anadhani kutengeneza filamu ni Kama kunyoa sehemu za siriNchi ya WAJUVI HII
Ubora wa picha wewe inaijua!!?..mtu wa Hollywood atengeneze filamu yenye ubora duni,filamu anoyoenda kuuza Hollywood!?Kwa ubora wa uzalishaji Royal Tour wamezingua. Yule Mzungu katika production kafeli analingia tu hiyo connection yake
Kwani quality ya filamu huwezi kujua mpaka ushike kamera? Mbona hata tulipokuwa wadogo kuna movie tulikuwa tunaziponda namna zilivyoandaliwa.Hapo hata kushika kamera hajui,anadhani kutengeneza filamu ni Kama kunyoa sehemu za siri
Hata mimiNakubaliana naye
Kukosoa ni sawa ila kuponda kila kitu ni ujinga mpya..
Sijaiona ila iliandaliwa kipigaji zaidi[emoji116]View attachment 2210309
Kuna ubora wa picha wa kipaimara,kitchen party,x,mpira/michezo na Kuna ubora wa filamu,na filamu zenyewe zimegawanyika,Kuna namna ya kupiga picha drama,action-drama na action,hizi sharti ziwe cinematicKwani quality ya filamu huwezi kujua mpaka ushike kamera? Mbona hata tulipokuwa wadogo kuna movie tulikuwa tunaziponda namna zilivyoandaliwa.
Ana PHD katika field gani?Hapo hata kushika kamera hajui,anadhani kutengeneza filamu ni Kama kunyoa sehemu za siri
Ubora wa picha wewe inaijua!!?..mtu wa Hollywood atengeneze filamu yenye ubora duni,filamu anoyoenda kuuza Hollywood!?
Sasa nini kifuatacho?Kuna ubora wa picha wa kipaimara,kitchen party,x,mpira/michezo na Kuna ubora wa filamu,na filamu zenyewe zimegawanyika,Kuna namna ya kupiga picha drama,action-drama na action,hizi sharti ziwe cinematic