ππUtafikiri walitumia kamera ya simu
Weka ushahidi huo wa Samatta uusemao. Wacha uongo.Anyway, nakujua vizuri humu mitandaoni.
Binafsi sioni Kama huwa unawasaidia unaowatetea kwa kuingiza hoja za kidini.
Kuna kipindi uliwahi kuingiza hoja za kidini kwa Mbwana Samatta bila hata sababu za msingi
Hapana, jifunze uandishi bora ili mtu aweze kumakinika na ujumbe wako kuliko kumdharau mtoa ujumbe kuwa kumbe hata kuandika vizuri hawezi.Hapa hatuko Bakita,mladi mtu ameelewa ujumbe,hayo mengine tuwaachie bakita
ELEWENI VICHWA KAMASI;-
β’Gharama ya 7bil,inajumuisha kila kitu fedha ambazo sio za serekali,ni wadau wa sekta wamechangia Mimi nikiwemo,gharama hizi zimebeba,utengenezaji filamu,kuitangaza,kutangaza utalii,kutangaza uwekezaji,kuvutia wawekezaji,Ku launch filamu,kukodi kumbi,na mengi kweli.
FAIDA;-
β’Tayari makampuni ya uwekezaji yanakuja nabuwekezaji wa 11Trilion,Ambayo yataajiri vijana 300,000.
::THAT WAS 2 IN 1 TOUR,NI ZIARA NA LAUNCH ILIYOKUWA NA MAMBO MENGI NDANI YAKE.
Weka ushahidi huo wa Samatta uusemao. Wacha uongo.
Sasa hapa kuna nini cha huyo poyoyo mwenzenu kukosoa zaidi ya udini tu?
ELEWENI VICHWA KAMASI;-
β’Gharama ya 7bil,inajumuisha kila kitu fedha ambazo sio za serekali,ni wadau wa sekta wamechangia Mimi nikiwemo,gharama hizi zimebeba,utengenezaji filamu,kuitangaza,kutangaza utalii,kutangaza uwekezaji,kuvutia wawekezaji,Ku launch filamu,kukodi kumbi,na mengi kweli.
FAIDA;-
β’Tayari makampuni ya uwekezaji yanakuja nabuwekezaji wa 11Trilion,Ambayo yataajiri vijana 300,000.
::THAT WAS 2 IN 1 TOUR,NI ZIARA NA LAUNCH ILIYOKUWA NA MAMBO MENGI NDANI YAKE.
Kweli tupu tena ingetengenezwa kwa gharama kdg saana hata kwa milioni 100"Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini kulinganisha na gharama iliyotumika,hata vijana wetu wa bongo movie wangeweza kutengeneza hii filamu, Tanzania ilishajitangaza,tusijidanganye kwamba Royal tour ndio itaitangaza Serengeti/Mlima Kilimanjaro" Dkt.Vicensia Shule
π
Tena kwa milioni 100 pekeebasic drone shots, basic camera movements/shots, color grading hata sijui kama walifanya? Kwa hiyo hela trust me kuna vijana bongo wangetoa kitu kizuri mno
Hawajadai viwango vya wazungu ni vya chini ila wanadai kiwango cha royal tour tumepigwa. Mara ngapi tunakutana na simu fake na original na zote zinatengenezwa na wao. Tumepigwa kwenye quality.Nchi ya wajuaji... wape kazi sasa ndio utashangaa. Kutwa kucha mnaenda kufundishwa kwao, leo mnadai viwango vyao vya chini.i
View attachment 2211158
Hapa Udini unao wewe Tu...Na unamtetea samia kwasababu zako Za kidiniHapa ni udini tu, hakuna zaidi. Amini ujuavyo nami naamini nijuavyo.
Kuna hoja ipi ya kukosoa?
Filamu inayokosolewa, kazi ya kuifanyia filamu hiyo tu imeshazalisha Matrilioni, mlikuwa hamfatilii safari ya mama huko USA na mafanikio yepi kayaleta? Huu ni udini tu.
Tabu sana, praise the lord fc.Pinga pinga FC hawana jema hao.
Wewe ni stupid,tumpe kwani walioandaa wamepewa na nani? Afanye mobilisation ya funds afu atoe filamu ndio aje kuropoka..Mpe hizo bilion 9 uone..
Hoja ya Dr Shule ni:
1. Kiwango cha ubora wa filamu vs thamani ya pesa HAVILINGANI. And that's plain truth. Fedha iliyotumika ni nyingi mno. Tumedanganywa...!
2. Filamu hii haiwezi kuwa kigezo cha ku - boost utalii Tanzania. Kwa sbb hakuna jipya lililo kwenye filamu hiyo ambacho hakipo kwenye filamu zilizowahi kuandaliwa na kwa gharama ndogo sana chini ya milioni 100 na siyo mabilioni haya...!
Udini maana yake nini?Hapa ni udini tu, hakuna zaidi. Amini ujuavyo nami naamini nijuavyo.
Kuna hoja ipi ya kukosoa?
Filamu inayokosolewa, kazi ya kuifanyia filamu hiyo tu imeshazalisha Matrilioni, mlikuwa hamfatilii safari ya mama huko USA na mafanikio yepi kayaleta? Huu ni udini tu.
Praise the lord fc. Kazi mbovu bana tuzibe macho kuwa hatuoni ama? π kuwa nominated haimaanishi kuwa uko perfect kwa kila kazi.Producer ana Emmy award,director ni nominee wa awards nyingi USA,kafanya royal tour na Poland,Mexico,Israel na rwanda ..leo waharibu franchise yao kwa Tanzania!!!?
Maana yake ni Uislam tu.Udini maana yake nini?
Mkuu picha za Royal tour hairuhusiwi kufanyiwa Saturation wala Kuboresha muonekano...kwa maana inatakiwa kuonekana kama ilivyo..... Ukiiedit na kuboresha muonekano wa Rangi na mtalii akija na kukuta mazingira ni tofauti itaonekana filamu haina uhalisia....basic drone shots, basic camera movements/shots, color grading hata sijui kama walifanya? Kwa hiyo hela trust me kuna vijana bongo wangetoa kitu kizuri mno