Dkt. Vicencia Shule: Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini. Hata vijana wa bongo movie wangeweza kuitengeneza

Dkt. Vicencia Shule: Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini. Hata vijana wa bongo movie wangeweza kuitengeneza

Anyway, nakujua vizuri humu mitandaoni.

Binafsi sioni Kama huwa unawasaidia unaowatetea kwa kuingiza hoja za kidini.

Kuna kipindi uliwahi kuingiza hoja za kidini kwa Mbwana Samatta bila hata sababu za msingi
Weka ushahidi huo wa Samatta uusemao. Wacha uongo.


Sasa hapa kuna nini cha huyo poyoyo mwenzenu kukosoa zaidi ya udini tu?
 
Hapa hatuko Bakita,mladi mtu ameelewa ujumbe,hayo mengine tuwaachie bakita
Hapana, jifunze uandishi bora ili mtu aweze kumakinika na ujumbe wako kuliko kumdharau mtoa ujumbe kuwa kumbe hata kuandika vizuri hawezi.
 
Binafsi nimeitazama ile Documentary, nimejiuliza ile Subtitle ni wao wenyewe wameiweka? Maana ina makosa mengi mno. Majina yamekosewa, maneno yamekosewa, yaani Shaghalabagala..

Yangu ni hayo tu.
 
Kumbe ulifadhili, ndo maana uko kambi ya utetezi. Hii ya tril 11 ilitokea mara baada ya kuiona hii filamu ya royal tour? 😁 bongo danadana sana. Subirini makampuni hayo yaje ndo muongee na mtuhakikishie kama yanakuja kuwekeza kwenye utalii au kusafirisha meno ya tembo. 😁 hivi mbona idadi ya waajiriwa huwa mko faster sana kuitaja wakati kila siku watu wanalia kuwa huajiriwa wageni hata kazi zinazoweza kufanywa na wazawa.
ELEWENI VICHWA KAMASI;-
•Gharama ya 7bil,inajumuisha kila kitu fedha ambazo sio za serekali,ni wadau wa sekta wamechangia Mimi nikiwemo,gharama hizi zimebeba,utengenezaji filamu,kuitangaza,kutangaza utalii,kutangaza uwekezaji,kuvutia wawekezaji,Ku launch filamu,kukodi kumbi,na mengi kweli.
FAIDA;-
•Tayari makampuni ya uwekezaji yanakuja nabuwekezaji wa 11Trilion,Ambayo yataajiri vijana 300,000.
::THAT WAS 2 IN 1 TOUR,NI ZIARA NA LAUNCH ILIYOKUWA NA MAMBO MENGI NDANI YAKE.
 
Nchi ya wajuaji... wape kazi sasa ndio utashangaa. Kutwa kucha mnaenda kufundishwa kwao, leo mnadai viwango vyao vya chini.

1651658912992.png
 
Weka ushahidi huo wa Samatta uusemao. Wacha uongo.


Sasa hapa kuna nini cha huyo poyoyo mwenzenu kukosoa zaidi ya udini tu?
 
Kumbe ulifadhili, ndo maana uko kambi ya utetezi. Hii ya tril 11 ilitokea mara baada ya kuiona hii filamu ya royal tour? 😁 bongo danadana sana. Subirini makampuni hayo yaje ndo muongee na mtuhakikishie kama yanakuja kuwekeza kwenye utalii au kusafirisha meno ya tembo. 😁 hivi mbona idadi ya waajiriwa huwa mko faster sana kuitaja wakati kila siku watu wanalia kuwa huajiriwa wageni hata kazi zinazoweza kufanywa na wazawa
ELEWENI VICHWA KAMASI;-
•Gharama ya 7bil,inajumuisha kila kitu fedha ambazo sio za serekali,ni wadau wa sekta wamechangia Mimi nikiwemo,gharama hizi zimebeba,utengenezaji filamu,kuitangaza,kutangaza utalii,kutangaza uwekezaji,kuvutia wawekezaji,Ku launch filamu,kukodi kumbi,na mengi kweli.
FAIDA;-
•Tayari makampuni ya uwekezaji yanakuja nabuwekezaji wa 11Trilion,Ambayo yataajiri vijana 300,000.
::THAT WAS 2 IN 1 TOUR,NI ZIARA NA LAUNCH ILIYOKUWA NA MAMBO MENGI NDANI YAKE.
 
"Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini kulinganisha na gharama iliyotumika,hata vijana wetu wa bongo movie wangeweza kutengeneza hii filamu, Tanzania ilishajitangaza,tusijidanganye kwamba Royal tour ndio itaitangaza Serengeti/Mlima Kilimanjaro" Dkt.Vicensia Shule
👇

Kweli tupu tena ingetengenezwa kwa gharama kdg saana hata kwa milioni 100
 
Nchi ya wajuaji... wape kazi sasa ndio utashangaa. Kutwa kucha mnaenda kufundishwa kwao, leo mnadai viwango vyao vya chini.i

View attachment 2211158
Hawajadai viwango vya wazungu ni vya chini ila wanadai kiwango cha royal tour tumepigwa. Mara ngapi tunakutana na simu fake na original na zote zinatengenezwa na wao. Tumepigwa kwenye quality.
 
Hapa ni udini tu, hakuna zaidi. Amini ujuavyo nami naamini nijuavyo.


Kuna hoja ipi ya kukosoa?

Filamu inayokosolewa, kazi ya kuifanyia filamu hiyo tu imeshazalisha Matrilioni, mlikuwa hamfatilii safari ya mama huko USA na mafanikio yepi kayaleta? Huu ni udini tu.
Hapa Udini unao wewe Tu...Na unamtetea samia kwasababu zako Za kidini
 
Mpe hizo bilion 9 uone..

Hoja ya Dr Shule ni:

1. Kiwango cha ubora wa filamu vs thamani ya pesa HAVILINGANI. And that's plain truth. Fedha iliyotumika ni nyingi mno. Tumedanganywa...!

2. Filamu hii haiwezi kuwa kigezo cha ku - boost utalii Tanzania. Kwa sbb hakuna jipya lililo kwenye filamu hiyo ambacho hakipo kwenye filamu zilizowahi kuandaliwa na kwa gharama ndogo sana chini ya milioni 100 na siyo mabilioni haya...!
Wewe ni stupid,tumpe kwani walioandaa wamepewa na nani? Afanye mobilisation ya funds afu atoe filamu ndio aje kuropoka..

Walioandaa Royal tour ndivyo wametafuta sasa unaposema upewe yaani utafuniwe si utakuwa fala.
 
Hapa ni udini tu, hakuna zaidi. Amini ujuavyo nami naamini nijuavyo.


Kuna hoja ipi ya kukosoa?

Filamu inayokosolewa, kazi ya kuifanyia filamu hiyo tu imeshazalisha Matrilioni, mlikuwa hamfatilii safari ya mama huko USA na mafanikio yepi kayaleta? Huu ni udini tu.
Udini maana yake nini?
 
Producer ana Emmy award,director ni nominee wa awards nyingi USA,kafanya royal tour na Poland,Mexico,Israel na rwanda ..leo waharibu franchise yao kwa Tanzania!!!?
Praise the lord fc. Kazi mbovu bana tuzibe macho kuwa hatuoni ama? 😁 kuwa nominated haimaanishi kuwa uko perfect kwa kila kazi.
 
basic drone shots, basic camera movements/shots, color grading hata sijui kama walifanya? Kwa hiyo hela trust me kuna vijana bongo wangetoa kitu kizuri mno
Mkuu picha za Royal tour hairuhusiwi kufanyiwa Saturation wala Kuboresha muonekano...kwa maana inatakiwa kuonekana kama ilivyo..... Ukiiedit na kuboresha muonekano wa Rangi na mtalii akija na kukuta mazingira ni tofauti itaonekana filamu haina uhalisia....

Yaani picha haitakiwi kuboreshwa hata kidogo kinachochukuliwa kwenye camera ndyo kinaonekana kama kilivyo..hakuna kung'arisha wala kupausha kwa maana mtalii akiiandalia anatakiwa aje akutane na kile alichokiona kiuhalisia....labda kama muonekano wa mazingira yatabadilika kutokana na Hali ya Misimu kama Ukame au Kiangazi...

Inatakiwa kama Nyasi ni kavu basi kwenye video zionekane kavu....kama Watu ni weusi basi waonekane weusi... Na siyo Orange (watumiaji wa Tecno wanaelewa)

Halafu vifaa vilivyotumika ni vya Holywood standard....

Na mpaka Amazon Prime na Apple tv wakakubali kuiweka kwenye platform zao basi ujue zimepitia Mchujo na Tathmini ya hali ya juu
 
Back
Top Bottom