Dkt. Vicencia Shule: Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini. Hata vijana wa bongo movie wangeweza kuitengeneza

Afu nani angepay attention kuona kazi yao Marekani ama Europe?.
Hata sa hivi hakuna anaye pay attention kuiangalia low quality film ya vile. Ni wabongo tu tumerudishiwa mzigo wetu zingine ni porojo tu.
 
Hapa Udini unao wewe Tu...Na unamtetea samia kwasababu zako Za kidini
Naam, Muislam nduguye ni Muislam mwenzie.

Nyinyi mnamponda kwa Uislam wake tu, hakuna zaidi.

Hilo wala siyo siri.
 
Sasa huo udini uko wapi hapi hapo? Hajavunja rekodi ya Mtanzania kucheza ligi kuu ya Uingerezza?

Au hujapenda kwa kuwa alikuwa siyo Maiko Samatta?
 
Tatizo sio wewe. Elimu duni uliyonayo ndio tatizo.
 
Sasa huo udini uko wapi hapi hapo? Hajavunja rekodi ya Mtanzania kucheza ligi kuu ya Uingerezza?

Au hujapenda kwa kuwa alikuwa siyo Maiko Samatta?
Anyway, kwahiyo wakristo wote wanaomuunga mkno Samia wananipendekeza?

Na waislamu wote wanamuunga mkno Samia?
 
Weka ushahidi huo wa Samatta uusemao. Wacha uongo.


Sasa hapa kuna nini cha huyo poyoyo mwenzenu kukosoa zaidi ya udini tu?
Wewe bibie una shida sana sana.

Anyway Yeye (Dr Vicencia) ana shahada ya udaktari wa sanaa na ubunifu, ni mhadhiri chuo bora cha UDSM, ni sahihi kwa yeye kuona mapungufu katika hiyo sinema ya huyo 'muislamu' mwenzako kuliko wewe masijala hapo TAMISEM kumkosoa kwa hoja dhaifu za udini.
 
Uislam hautaniisha mpaka kufa kwangu, hilo sahau. Mimi ni Muislam na utaumia sana, ndiyo tunadunda hivyo, ukitupara tunakuparura.
Hakuna anayekuzuia Kuwa muislam ukitaka hata uwe mchawi kama mshana Ni wewe this is a free country
 
Anyway, kwahiyo wakristo wote wanaomuunga mkno Samia wananipendekeza?

Na waislamu wote wanamuunga mkno Samia?
Wewe hayo unasema wewe, ulisem kuna udini hapo kwa Samatta, uko wapi huo udini? Au Uislam wake ndiyo kwako udini?

Usijifanye mjuzi wa kubadilisha maneno, onesha ushahidi uliotakiwa uuoneshe au umeshasahau? Au unafikiri sote tuko finyu? Mtawachezea wajinga wenzenu tu, hapa ni namaba nyingine kabisa. Ukibeep nnapiga. Mama anasema ukimpara anakuparura. Ni hayo hayo tu.
 
Kumbe ni karani hapo masijala TamiSemi?
 
Huyu dr. Ndio alisemaga wanafunzi wa UDSM hawajui kuoga, wananuka hovyo tu.
Sina hamu na huyu doctor. Huyu hata ukitembea naye lazima akutangaze kwamba ni mkulima na mmiliki halali wa bamia.
Mwache ajiropokee. Ana uhuru wake wa kutoa maoni kama binadamu wengine.
 
Weka ushahidi huo wa Samatta uusemao. Wacha uongo.


Sasa hapa kuna nini cha huyo poyoyo mwenzenu kukosoa zaidi ya udini tu?
Ko mama akikosolewa ni udini. 😁 fikra zako ziko chini sana kushupalia neno moja tu. Manara akikosolewa kisa ni rangi? Magufuli alikosolewa ulikuwa udini? Ongea points achana na
Sema maza huyo ni nongwa sana kwa issue za udini. Kila comment ni kusemea dini tu utafikiri inamfanya kujiona yeye ni wa kipekee saana.
 
Unawaharibia sana unaowatetea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…