Nsennah
JF-Expert Member
- Jan 9, 2021
- 1,947
- 1,554
Hata sa hivi hakuna anaye pay attention kuiangalia low quality film ya vile. Ni wabongo tu tumerudishiwa mzigo wetu zingine ni porojo tu.Afu nani angepay attention kuona kazi yao Marekani ama Europe?.