Dkt. Vicencia Shule: Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini. Hata vijana wa bongo movie wangeweza kuitengeneza

Ana uhuru wa kutoa mawazo, mimi sijauona kiukweli km boko ni boko km nzuri watu watasema nzuri.
 
We na 4k yako au 16k unahis tz hakuna hebu fatilia kijana anaitwa ngoteya huyu anafanya movie za wanyama cheki kazi zake
uko sahihi kabisa na quality movie inabebwa na vitu vingi amabavo kwa pamoja vinakuwa kimoja ,kama acting, directing, writing, cinematography na production value ambavyo vikifanyika kwa ubora vinaleta athari chanya kwenye kuburudisha na simulizi yenye kueleweka (to tell one cohesive, entertaining, and impactful story.}
 
Anajisemea tu kwa sababu ni uhuru wake wa kutoa maoni ...

Bongo movie hawa hawa akina stivu ..
 
Kichwa kilichoenda shule kama jina lake, sio wale wanaosifiasifia kwaa kulenga uteuzi!,
Ni kitu gani kipya kinaonyesha utofauti kati ya njia zilizokwisha kutumika kuitangaza Tanzania?
 
Kweli viroboto mmeshiba mikojo kakosea wapi Dr
Sasa akili ya kusubili akili ya wengine ibuni jambo Kisha we unajipa uhodari wa kukosoa tu. Ndiyo maana hapo kwenye avata yako umekuwa dubwe kama hippopotamus
 
Ngoja tukiiona tutasema,ila Tz kuna katabia ka kukosoa kila kitu
 
KWakweli mimi nampenda sana mwalimu Vicensia Shule, alikuaga na urafiki sana na Dr. BAshiru kabla hawaja PHD holders; kuna mtu ana namba zake please? Tupeane connection bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…