wabongo wengi wana roho za kichawi!! hkn aliye wahi kuiwazia wala kubuni! wengine wamebuni wanaumia sana, wanatamani kufa!Tatizo wabongo wabishi sn
Watengeneze yao tuone nani ataangalia
Ile movie ina hamasa cz ya hadhi ya Urais na huyo mzungu
"Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini kulinganisha na gharama iliyotumika, hata vijana wetu wa bongo movie wangeweza kutengeneza hii filamu, Tanzania ilishajitangaza, tusijidanganye kwamba Royal tour ndio itaitangaza Serengeti/Mlima Kilimanjaro" Dkt.Vicensia Shule
π
Huna akili we pimbi.Sasa miaka yote hiyo mbona hao bongo movie hawajawahi tengeneza ya kwao?
0754200145KWakweli mimi nampenda sana mwalimu Vicensia Shule, alikuaga na urafiki sana na Dr. BAshiru kabla hawaja PHD holders; kuna mtu ana namba zake please? Tupeane connection bhana
Hiyo ni namba ya Chiku Ally Mrisho, lwa nini umeiweka public bila idhini yake? Hujui kuwa unatenda jinai0754200145