Sijui hayo yote uliyosema ila najua ila najua kizuri na kibaya. Na Royal Tour quality ni mbayaKuna ubora wa picha wa kipaimara,kitchen party,x,mpira/michezo na Kuna ubora wa filamu,na filamu zenyewe zimegawanyika,Kuna namna ya kupiga picha drama,action-drama na action,hizi sharti ziwe cinematic
Sasa nini kifuatacho?
Huyu Dr. Ni mchawi mwenye fikra za kimasikini mbona kabla ya RT hakuwa na wazo lolote la kusaidia kupromote utalii.
Kama hajui ndio hawezi kutambua ubora wa filamu?Muulizeni Kama anajua 4k ni nini
Apromote nini wakati Kilimanjaro na Serengeti zinajulikana duniani kote hata bila RT.Huyu Dr. Ni mchawi mwenye fikra za kimasikini mbona kabla ya RT hakuwa na wazo lolote la kusaidia kupromote utalii.
Hapa inatakiwa ubishe kwa facts sio kila kinachowekwa Hollywood ni bora kuliko vyote. Dokta anasema ubora wake sio mkubwa kulinganisha na ubora wa filamu zinginde za nyakati hizi. Mfano hata filamu za anold , Rambo na Van damme zilikuwa bora kwa wakati wake na zikaoneshwa Hollywood lakini ukiziangalia leo ni low qualityKuna ubora wa picha wa kipaimara,kitchen party,x,mpira/michezo na Kuna ubora wa filamu,na filamu zenyewe zimegawanyika,Kuna namna ya kupiga picha drama,action-drama na action,hizi sharti ziwe cinematic
Kwahiyo RT ni kweli inatutangazia au inatupa connection?Aulizwe kama anajua maana ya kuwa na connection na wakubwa wa dunia hii katika tasnia mbalimbali. Suala siyo ubora tu, suala ni nani anaweza kukuungisha jambo lako likafanikiwa
Hapo hata kushika kamera hajui,anadhani kutengeneza filamu ni Kama kunyoa sehemu za siri
Wewe kumbe haumjuhi huyu dada,huyu haliwalipua Wahadhiri wa chuo hapo Mlimani kuwa kuna Wahadhiri wanaomba wasichana ngono kisa wanawapa Max za bure,akamwambi Jiwe hawasaidie maana hapa Mlimani kuna digrii za chupi, Magufuri alipoinuka akasema jambo hilo kamwachia mkuu wa chuo, badae mkuu wa chuo haliunda tume,sijajua tume ilitoa majibu gani,hajawahi kuwa na matatizo na Magufuri acha uongo... huyu Dr. Shule ana kauli tata sana. Chupuchupu aingie kwenye 18 za Jiwe enzi zile.
Iyo kama anajua 4k au hajui sio hoja kwa haraka haraka 7 bilion ya tzs ni sawa na dola 3,026,139.90 ebu ne da kaangalie mv yenye iyo budget au documentary yyt yenye iyo budget alafu linganisha iyo 4k yako kama zitaendanaaaaa, uyo kaongea kitu cha msingi sanaaaa ni ukweeel kbs usio fichikaMuulizeni Kama anajua 4k ni nini
Huyu ndiye alisema wadada wa UDSM hawajui kuosha papuchi, uzi upo humuNchi ya WAJUVI HII
AseeeeeHuyu ndiye alisema wadada wa UDSM hawajui kuosha papuchi, uzi upo humu
Hapo mlimani pana shida Nyingi basi....Wewe kumbe haumjuhi huyu dada,huyu haliwalipua Wahadhiri wa chuo hapo Mlimani kuwa kuna Wahadhiri wanaomba wasichana ngono kisa wanawapa Max za bure,akamwambi Jiwe hawasaidie maana hapa Mlimani kuna digrii za chupi, Magufuri alipoinuka akasema jambo hilo kamwachia mkuu wa chuo, badae mkuu wa chuo haliunda tume,sijajua tume ilitoa majibu gani,hajawahi kuwa na matatizo na Magufuri acha uongo
Hapo hata kushika kamera hajui,anadhani kutengeneza filamu ni Kama kunyoa sehemu za siri
Hapa hatuko Bakita,mladi mtu ameelewa ujumbe,hayo mengine tuwaachie bakitaHapo mlimani pana shida Nyingi basi....
Ikiwemo hii
Hawasaidie ❌
Awasaidie✅
Napendekeza tutatue hili kwanza, Hoja inapungua makali kama itaandikwa vibaya.