Michael mbano
JF-Expert Member
- Apr 4, 2022
- 820
- 570
ANAISHI UGHAIBUNI,"Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini kulinganisha na gharama iliyotumika,hata vijana wetu wa bongo movie wangeweza kutengeneza hii filamu, Tanzania ilishajitangaza,tusijidanganye kwamba Royal tour ndio itaitangaza Serengeti/Mlima Kilimanjaro" Dkt.Vicensia Shule
👇View attachment 2210309
Producer ana Emmy award,director ni nominee wa awards nyingi USA,kafanya royal tour na Poland,Mexico,Israel na rwanda ..leo waharibu franchise yao kwa Tanzania!!!?Sawa nimekusikia, swali kwako, huyo mlengwa unamfahamu ni nani? Na fani yake ni nini?
Watanzania huwa hatuna utamaduni wa kuijadili filamu ili kuona ubora wake, na hilo ndilo linaloitesa Bongo muvi. Kwenye fani ya filamu picha ikitengenezwa lazima ijadiliwe ili kuona kama imetimiza ubora unaotakiwa.
Kijana kwa sasa ni habari nyingine anavifaa sana vya maanaJohn cosmas ngoteya,miaka mitano iliyopita nikimuona alifanya promo national geographic,juzi nikaona kampuni yake imefanikiwa kurusha national grographic
Mtaalam, Mbona hatujawahi kuona hizo docs kutoka kwa vijana wabongo zenye hizo basic issues kama unavyosema!basic drone shots, basic camera movements/shots, color grading hata sijui kama walifanya? Kwa hiyo hela trust me kuna vijana bongo wangetoa kitu kizuri mno
Huku sasa ni kupoteza nini jamani, dira au muelekeo?"Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini kulinganisha na gharama iliyotumika,hata vijana wetu wa bongo movie wangeweza kutengeneza hii filamu, Tanzania ilishajitangaza,tusijidanganye kwamba Royal tour ndio itaitangaza Serengeti/Mlima Kilimanjaro" Dkt.Vicensia Shule
👇View attachment 2210309
Kuna kitu hukijui kuhusu RT...basic drone shots, basic camera movements/shots, color grading hata sijui kama walifanya? Kwa hiyo hela trust me kuna vijana bongo wangetoa kitu kizuri mno
Wanasema bora ujumbe Umefika 😂😂.Halafu siku za hivi karibuni uandishi wa namna hiyo umeshamiri sana. Najiuliza maswali wanaoandika hivyo wametoa wapi hiyo lugha? Shule zipi zinafundisha hivyo? Utakuta mtu anaandika:
awana badala ya hawana
Hawakubalie badala ya awakubalie
Hawaone badala ya awaone
awaongei badala ya hawaongei
Yaani panapostahili 'H' haiwekwi badala yake wanakuja kuiweka isipostahili na bahati mbaya hata ukimuelekeza sio rahisi kukuelewa
Wee jamaa inatosha umetudanganya vya kutoshaHebu tafuta bajeti ya salt au movie yoyote ya Hollywood unayoijua,uone Kama Kuna movie ya maana inayopingua bajeti dola 30m,muigizaji anapewa chake kabisa,hakuna mkopo,ndiyo huwa wanatafutwa investors...na kwa Hollywood wapo tu
Kwani nani anajuwa ubora wa Dr Vicencia Shule? Beauty is in the eyes of the beholder."Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini kulinganisha na gharama iliyotumika,hata vijana wetu wa bongo movie wangeweza kutengeneza hii filamu, Tanzania ilishajitangaza,tusijidanganye kwamba Royal tour ndio itaitangaza Serengeti/Mlima Kilimanjaro" Dkt.Vicensia Shule
👇View attachment 2210309
Kama Dr Vicencia Shule hawezi kutengeneza nywele kama anavyoonekana hapo, basi hata mavuzi hanyoi, yana mabutuHapo hata kushika kamera hajui,anadhani kutengeneza filamu ni Kama kunyoa sehemu za siri
Nimekudanganya nini!?Wee jamaa inatosha umetudanganya vya kutosha
Mhaya kama mhaya... Labda intellectuals wa kaitaba na ijuganyundoRoyal Tour hakuna editing ya Marangi rangi Kama bongo Movie so hapo wabongo ndo Mama kawapiga gori la kisigino if ingekuwa tofatuti hii Filamu Ni kwa intellectual tu.
Kama Dr Vicencia Shule hajaielewa ajuwe kuwa yeye siyo target audience. Aendele na kazi zake zinazomupa shibe."Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini kulinganisha na gharama iliyotumika,hata vijana wetu wa bongo movie wangeweza kutengeneza hii filamu, Tanzania ilishajitangaza,tusijidanganye kwamba Royal tour ndio itaitangaza Serengeti/Mlima Kilimanjaro" Dkt.Vicensia Shule
👇View attachment 2210309
Hii Nchi inahitaji Rais mwenye akili zaidi ya Nyerere na mwendawazimu zaidi ya Magufuli lasivyo hakuna chochote tuta achieve kama Nchi."Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini kulinganisha na gharama iliyotumika,hata vijana wetu wa bongo movie wangeweza kutengeneza hii filamu, Tanzania ilishajitangaza,tusijidanganye kwamba Royal tour ndio itaitangaza Serengeti/Mlima Kilimanjaro" Dkt.Vicensia Shule
👇View attachment 2210309
Sawa we endelea kupinga pinga sisi tunataka turudi zama za JkMhaya kama mhaya... Labda intellectuals wa kaitaba na ijuganyundo
Hoja hapa ni ubora wa Royal tour ya Tanzania. Hata vijana wa Tanzania wangetengeneza ya kiwango hiki. Bil 11 zimepigwa na mafisadi wa MakunduchiKama Dr Vicencia Shule hajaielewa ajuwe kuwa yeye siyo target audience. Aendele na kazi zake zinazomupa shibe.
Peter Greenberg hajaanza kuandika na kushoot royal tour ya Tanzania, hiyo ndiyo layout yake kadri director alivyoiandika, Soma hapa;
"He also produces and hosts a television series called The Royal Tour which airs on PBS. The series features various heads of state giving Greenberg and viewers a personal tour of their country. It has featured a number of world leaders including New Zealand's Helen Clark, Israel's Benjamin Netanyahu, Abdullah II of Jordan, Peru's Alejandro Toledo, Mexico's Felipe Calderón, Rwanda's Paul Kagame, Poland's Mateusz Morawiecki and Tanzania's Samia Suluhu Hassan. Greenberg was previously the Travel Channel's chief correspondent."