Dkt. Wilbroad Slaa: Viongozi wakubwa serikalini na CCM wapatao 38 wamenipigia kuniunga mkono katika kupinga uuzwaji wa bandari za Tanganyika

Shida ya huyu mzee nae ni kutokuwa na siri, mambo anayoambiwa chumbani anapeleka hadharani, atakosa kupewa siri ... anabwabwaja sana ...
 
That doesn't help, they should come out and condemn this bogus treaty samia signed with the Arabs
 
Shida ya huyu mzee nae ni kutokuwa na siri, mambo anayoambiwa chumbani anapeleka hadharani, atakosa kupewa siri ... anabwabwaja sana ...
Kwani kamsema mtu hapo? Au hujui maana ya siri? Kwanza unaaminije kama ni kweli? We una shida ya uelewa.
 
Pascal nawewe usiwe mshamba. Kwa hiyo kiongozi anayejua fika simu yake iko tapped atawasiliana kwa simu hiyo hiyo?

Wewe kweli ndio mtoto wa retired senior security officer? Mbona hufananii?
 
Huijui CCM wewe. Hakuna cha uasi wala nini, watu wengi wame invest heavily ndani ya Chama hicho and none of them is ready to suffer loss. Hiyo idada ya 38 iliyotajwa sio miongoni mwao.
Hakuna lolote, ni woga wa maisha tu, akili ya kuwekeza wanayo? Watu wa kuwekeza ni kama Rostam Azizi, nk lkn hawa wengine wanavizia ukuu wa wilaya wa watoto wao, hao hakuna kitu.
 
Huijui CCM wewe. Hakuna cha uasi wala nini, watu wengi wame invest heavily ndani ya Chama hicho and none of them is ready to suffer loss. Hiyo idada ya 38 iliyotajwa sio miongoni mwao.
Itakuwa ni wale waliokosa fursa nono
 
Hao 38 ni wazee wa vimemo wanufaika wa upigaji.

DP itazua wizi.

Wanaopinga DP ni wezi,wananchi wa kawaida wao wametulia tu
Hao wananchi wa kawaida unaowasema ni wapi, wapo ambao hata ukiwauliza nguo uliyovaa imetokea wapi hajui sana sana atakwambia dukani, sasa na huyo mwananchi ni kutegemea aseme chochote kuhusu bandari? Mwingine anaweza kukujibu bandari hainihusu.
 
Hilo la kujitenga naye halipo. Huwajui ccm linapokuja swala la maslahi binafsi. Huwa hawaachani.
 
Atasababisha watrace simu yake kujua kaongea na kina nani
Dr Slaa amekuwa balozi anaongea kitu anachokijua.

Unaujua ubalozi wa nchi za kidikiteta unavyopatikana? Processes zake.

Dr Slaa is a careful man. He knows all the risks
 
Viongozi wakubwa wa ccm na serikali manaa yake wanec na mawaziri au?
 
Natamanu ma IGP na vyombo vya dola viunge mkono madai ya wananchi kuokoa Rasilimali za Tanzania
 
Asipokuwa Makin watamsadia apumzike milele kwenye nyumba za milele
 
Sahihi
 
Wanaweza wakawa wamempigia Whatsapp au telegram hawez kusema simu za kawaida wakati anajua kuwa wanafuatiliwa ishu ya akina makamba ,kinana,membe,nape against magufuli iliwaamsha usingizin

Ila Dr slaa pia anaweza akawa ameongea hivyo ili kuwavuruga Zaid na Mhusika ajue kuwa kumbe napingwa na wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…