Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasikitisha sana.Tanganyika ipo kwenye wakati mgumu wa mapito
Kwani kamsema mtu hapo? Au hujui maana ya siri? Kwanza unaaminije kama ni kweli? We una shida ya uelewa.Shida ya huyu mzee nae ni kutokuwa na siri, mambo anayoambiwa chumbani anapeleka hadharani, atakosa kupewa siri ... anabwabwaja sana ...
Pascal nawewe usiwe mshamba. Kwa hiyo kiongozi anayejua fika simu yake iko tapped atawasiliana kwa simu hiyo hiyo?Kwanza this is too good to be true!, and if it's true, then it's not good at all!, and in fact, k, it's very dangerous!, huyu padri anataka kuwaponza tuu watu wa sehemu bure!, kukesha bure usiku na mchana kwenye tracking and tapping simu Padri Silaha, kuwatafuta hao
Viongozi 38, wa serikali wasiojua how the government works, wasio jua kuwa simu zao ziko tapped, watampigia simu Padri Slaa kumpongeza kwa kuipinga serikali yao?..
Hata kama ni kweli, Slaa anapaswa ajifunze kunyamaza!, sio lazima kusema kila kitu unachosikia! Swali la Morality: Je, ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele maslahi ya Taifa?
P
Hakuna lolote, ni woga wa maisha tu, akili ya kuwekeza wanayo? Watu wa kuwekeza ni kama Rostam Azizi, nk lkn hawa wengine wanavizia ukuu wa wilaya wa watoto wao, hao hakuna kitu.Huijui CCM wewe. Hakuna cha uasi wala nini, watu wengi wame invest heavily ndani ya Chama hicho and none of them is ready to suffer loss. Hiyo idada ya 38 iliyotajwa sio miongoni mwao.
Jamii anayoiongozawe unajua maana ya Rais? RAis amtetemekee nani, nyie minyau?
Itakuwa ni wale waliokosa fursa nonoHuijui CCM wewe. Hakuna cha uasi wala nini, watu wengi wame invest heavily ndani ya Chama hicho and none of them is ready to suffer loss. Hiyo idada ya 38 iliyotajwa sio miongoni mwao.
Hao wananchi wa kawaida unaowasema ni wapi, wapo ambao hata ukiwauliza nguo uliyovaa imetokea wapi hajui sana sana atakwambia dukani, sasa na huyo mwananchi ni kutegemea aseme chochote kuhusu bandari? Mwingine anaweza kukujibu bandari hainihusu.Hao 38 ni wazee wa vimemo wanufaika wa upigaji.
DP itazua wizi.
Wanaopinga DP ni wezi,wananchi wa kawaida wao wametulia tu
Hilo la kujitenga naye halipo. Huwajui ccm linapokuja swala la maslahi binafsi. Huwa hawaachani.Mama ajiandae, labda awe strong kutumia madaraka yake makubwa kuzima uasi unaoweza kumkuta ndani ya chama chake. Hapa kategwa nae kaingia kingi.
Pia, CCM wanaweza kumgeuka baada ya kuona hii issue inaweza kuigharimu vibaya CCM, hivyo lazima wajitenge nae.
Dr Slaa amekuwa balozi anaongea kitu anachokijua.Atasababisha watrace simu yake kujua kaongea na kina nani
Ameyasema hayo katika Club House.
Amesema, wakuu katika serikali na wakuu katika CCM wamesema katika hili hakuna cha itikadi za vyama, dini, ardhi hii haina vyama bali ni ya Watanganyika.
Wamemuhimiza asirudi nyuma katika hili.
Nikiweka clip (link) Mods watafuta thread. Let me try
Hii issue imemgeuza The Boss kuwa boya kabisa. Honestly, mimi yani siamini kama ni yeye!Nawe unatetemeka kama Samia, hivyo viswali vya kitoto muulize dadako Samia.
Ameyasema hayo katika Club House.
Amesema, wakuu katika serikali na wakuu katika CCM wamesema katika hili hakuna cha itikadi za vyama, dini, ardhi hii haina vyama bali ni ya Watanganyika.
Wamemuhimiza asirudi nyuma katika hili.
Nikiweka clip (link) Mods watafuta thread. Let me try
Ingawa hata wewe ulikuwa kama yeye enzi za Jiwe lakini huyu bwana hakutarajiwa kuwa mtu wa hovyo kiasi hiki.Hii issue imemgeuza The Boss kuwa boya kabisa. Honestly, mimi yani siamini kama ni yeye!
Asipokuwa Makin watamsadia apumzike milele kwenye nyumba za mileleNaamini kabisa, licha ya Samia kutoa majibu ya sharau kwa watanganyika kuhusu ule mkataba kwamba ameziba masikio, lakini ndani ya nafsi yake, atakuwa anatetemeka sana, hana amani.
Lile jibu lake kwetu lilikuwa kama mbinu ya self defence kisaikolojia, lakini anajua fika, amezungukwa na wasiomuamini wala kumuunga mkono naye anajua hilo.
Ametusaliti watanganyika.
SahihiMama ajiandae, labda awe strong kutumia madaraka yake makubwa kuzima uasi unaoweza kumkuta ndani ya chama chake. Hapa kategwa nae kaingia kingi.
Pia, CCM wanaweza kumgeuka baada ya kuona hii issue inaweza kuigharimu vibaya CCM, hivyo lazima wajitenge nae.
Mzee Dunia ya Leo ni ngumu sana kama kapigiwa Whatsapp unajuajeAtasababisha watrace simu yake kujua kaongea na kina nani
Wanaweza wakawa wamempigia Whatsapp au telegram hawez kusema simu za kawaida wakati anajua kuwa wanafuatiliwa ishu ya akina makamba ,kinana,membe,nape against magufuli iliwaamsha usingizinKwanza this is too good to be true!, and if it's true, then it's not good at all!, and in fact, k, it's very dangerous!, huyu padri anataka kuwaponza tuu watu wa sehemu bure!, kukesha bure usiku na mchana kwenye tracking and tapping simu Padri Silaha, kuwatafuta hao
Viongozi 38, wa serikali wasiojua how the government works, wasio jua kuwa simu zao ziko tapped, watampigia simu Padri Slaa kumpongeza kwa kuipinga serikali yao?..
Hata kama ni kweli, Slaa anapaswa ajifunze kunyamaza!, sio lazima kusema kila kitu unachosikia! Swali la Morality: Je, ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele maslahi ya Taifa?
P
Kwani kipi kilimfanya kuacha upadri?Hawezi kuwataja. Slaa hawezi kudanganya mambo madogo kama hayo