Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,363
- 10,265
Yaani hata aende Cuf, my only word is atulie akifue chama aachane na harakati za kibongo maana nyingi zinapoteza,hazipo kama zinavyotakiwa. Hata chama cha mkeo au mumeo ajiunge ndio maana yangu. Sasa upandikizi yakhee mimi sijui.Alikuwa pandikizi na baadaye akaja kujidhihirisha kwa kuwa chawa wa Mwendakuzimu.
Unaweza ukamaliza wewe maisha yako na ukamwacha Dokta anadunda. Dhamira ya kiongozi - Mkombozi ipo moyoni sio ujana au uzee.Sahihi kabisa atulie amalizie maisha yake yaliyobaki Kwa amani
Hakuna mtu asiye na ndevu kumbe dawa kamata yeye weka ndani😀😀😀 Nimecheka Kweli, ana midevu kama Babu yako wa Kijijini
sasa,anaruhisiwa kudai fidia kwa kukaa gereza I muda wote huo?Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam imemuachilia huru Dkt. Wilbord Slaa baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini DPP kueleza kuwa hana nia ya kuendelea na shauri hilo.
Shauri Na.993 la mwaka 2025 lilidai Dkt. Slaa ameshtakiwa kwa kuchapisha taarifa za uongo kupitia ukurasa wa X (zamani Twitter).
Leo February 27,2025, Wakili wa Serikali Mwandamizi Job Mrema amewasilisha nia ya DPP mbele ya Hakimu Mfawidhi Franco Kiswaga .
Wakili Mrema ameieleza Mahakama kuwa DPP ameamua kutoaendelea na shauri hilo kwa mujibu wa kifungu cha 91 (1) cha mwenendo wa makosa ya jinai.
Source: Millard Ayo, TBC
Unateseka ukiwa upande gani hapo kizimkazi?Unajiona mjanja kujificha kwenye hiyo keyboard?
Zaidi ya CCM labda aende chama cha mumeo, once a traitor always a traitor. He is a two headed serpent, he shouldn't be trusted.Yaani hata aende Cuf, my only word is atulie akifue chama aachane na harakati za kibongo maana nyingi zinapoteza,hazipo kama zinavyotakiwa. Hata chama cha mkeo au mumeo ajiunge ndio maana yangu. Sasa upandikizi yakhee mimi sijui.
Tatizo umri wake umeenda sana harakati za ukombozi awaachie vijana mambo ni kurithishanaUnaweza ukamaliza wewe maisha yako na ukamwacha Dokta anadunda. Dhamira ya kiongozi _ Mkombozi upo moyoni sio ujana au uzee.
Baada ya kumuumbua bwanako kwamba anahongwa na chura kiziwi ili aendelee kuwa mwenyekitiAmeshika adabu sasa!! Ameionja joto ya jiwe!
Inabidi ayaache .. 😅😅😀😀😀 Nimecheka Kweli, ana midevu kama Babu yako wa Kijijini
Wa kula pesa za Lissu?Dr.Slaa moto ni ule ule🔥
Na pamoja na yote bwanako bado alipigwa chini kwenye sanduku la kura!Ameshika adabu sasa!! Ameionja joto ya jiwe!
Ile movie imeisha hivyo.Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam imemuachilia huru Dkt. Wilbord Slaa baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini DPP kueleza kuwa hana nia ya kuendelea na shauri hilo.
Shauri Na.993 la mwaka 2025 lilidai Dkt. Slaa ameshtakiwa kwa kuchapisha taarifa za uongo kupitia ukurasa wa X (zamani Twitter).
Leo February 27,2025, Wakili wa Serikali Mwandamizi Job Mrema amewasilisha nia ya DPP mbele ya Hakimu Mfawidhi Franco Kiswaga .
Wakili Mrema ameieleza Mahakama kuwa DPP ameamua kutoaendelea na shauri hilo kwa mujibu wa kifungu cha 91 (1) cha mwenendo wa makosa ya jinai.
Source: Millard Ayo, TBC
Kwa hiyo kaachiwa huru sababu hazikiwa tena habari za uongo?ninyi wanasiasa, jambo moja nawashauri ni kwamba, ukitaka kutamka lolote, tamka kwa makini, usiache mianya ya kushitakiwa, na usiongee bila kujiandaa. mfano, ukitaka kukosoa kesho, kuanzia leo pangilia maneno ili isiwe rahisi kufunguliwa mashtaka. ni ushauri tu.
Na Bado jamaa Sanduku la kura akapigwa chini.Ameshika adabu sasa!! Ameionja joto ya jiwe!
naamini angeongea kwa technique, wala wasingekuwa na sababu ya kumkamata na ujumbe angekuwa ameshafikisha. kwa mujibu wa ile clip, kutaja kwake usalama na jeshi inaonyesha ndio ilisababisha wamrukie. yupo nje sasa, anatakiwa kuwa makini kwenye kauli ili tuendelee kupata ujume wake akiwa nje.mwanajeshi wa kisiasa unatakiwa kuwa na akili na ujanja sana kwani wakikukamata na kukupeleka lupango wanakurudisha nyuma sana.Kwa hiyo kaachiwa huru sababu hazikiwa tena habari za uongo?
We naye ndio wale wale tu
🤣🤣🤣Lissu ndio alisema uchaguzi ukiisha ataachiwa eti kakamatwa ili Mbowe ashinde.
Huyu mzee laaana ya kusema Mbowe ni gaidi na Lissu kapigwa risasi na chadema ndio vinamtafuna.
Mrembo una sonona ya kuachwa.Baba yako alifanya kosa sana kutotumia condom.Madhara yake ndio yanaonekana sasa.Umekuwa kama kuku aliyekatwa kichwa hujui ulipo.Unateseka ukiwa upande gani hapo kizimkazi?
Wangemkamata tu wakiamua. Hawana fomula ya kukamata, wakijisikia tu utadakwa.naamini angeongea kwa technique, wala wasingekuwa na sababu ya kumkamata na ujumbe angekuwa ameshafikisha. kwa mujibu wa ile clip, kutaja kwake usalama na jeshi inaonyesha ndio ilisababisha wamrukie. yupo nje sasa, anatakiwa kuwa makini kwenye kauli ili tuendelee kupata ujume wake akiwa nje.mwanajeshi wa kisiasa unatakiwa kuwa na akili na ujanja sana kwani wakikukamata na kukupeleka lupango wanakurudisha nyuma sana.