Pre GE2025 Dkt. Willibrod Slaa aachiwa huru, DPP hana nia ya kuendelea na kesi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Alikuwa pandikizi na baadaye akaja kujidhihirisha kwa kuwa chawa wa Mwendakuzimu.
Yaani hata aende Cuf, my only word is atulie akifue chama aachane na harakati za kibongo maana nyingi zinapoteza,hazipo kama zinavyotakiwa. Hata chama cha mkeo au mumeo ajiunge ndio maana yangu. Sasa upandikizi yakhee mimi sijui.
 
Sa
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam imemuachilia huru Dkt. Wilbord Slaa baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini DPP kueleza kuwa hana nia ya kuendelea na shauri hilo.

Shauri Na.993 la mwaka 2025 lilidai Dkt. Slaa ameshtakiwa kwa kuchapisha taarifa za uongo kupitia ukurasa wa X (zamani Twitter).

Leo February 27,2025, Wakili wa Serikali Mwandamizi Job Mrema amewasilisha nia ya DPP mbele ya Hakimu Mfawidhi Franco Kiswaga .

Wakili Mrema ameieleza Mahakama kuwa DPP ameamua kutoaendelea na shauri hilo kwa mujibu wa kifungu cha 91 (1) cha mwenendo wa makosa ya jinai.

Source: Millard Ayo, TBC
sasa,anaruhisiwa kudai fidia kwa kukaa gereza I muda wote huo?
 
Yaani hata aende Cuf, my only word is atulie akifue chama aachane na harakati za kibongo maana nyingi zinapoteza,hazipo kama zinavyotakiwa. Hata chama cha mkeo au mumeo ajiunge ndio maana yangu. Sasa upandikizi yakhee mimi sijui.
Zaidi ya CCM labda aende chama cha mumeo, once a traitor always a traitor. He is a two headed serpent, he shouldn't be trusted.
 
Unaweza ukamaliza wewe maisha yako na ukamwacha Dokta anadunda. Dhamira ya kiongozi _ Mkombozi upo moyoni sio ujana au uzee.
Tatizo umri wake umeenda sana harakati za ukombozi awaachie vijana mambo ni kurithishana
 
ninyi wanasiasa, jambo moja nawashauri ni kwamba, ukitaka kutamka lolote, tamka kwa makini, usiache mianya ya kushitakiwa, na usiongee bila kujiandaa. mfano, ukitaka kukosoa kesho, kuanzia leo pangilia maneno ili isiwe rahisi kufunguliwa mashtaka. ni ushauri tu.
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam imemuachilia huru Dkt. Wilbord Slaa baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini DPP kueleza kuwa hana nia ya kuendelea na shauri hilo.

Shauri Na.993 la mwaka 2025 lilidai Dkt. Slaa ameshtakiwa kwa kuchapisha taarifa za uongo kupitia ukurasa wa X (zamani Twitter).

Leo February 27,2025, Wakili wa Serikali Mwandamizi Job Mrema amewasilisha nia ya DPP mbele ya Hakimu Mfawidhi Franco Kiswaga .

Wakili Mrema ameieleza Mahakama kuwa DPP ameamua kutoaendelea na shauri hilo kwa mujibu wa kifungu cha 91 (1) cha mwenendo wa makosa ya jinai.

Source: Millard Ayo, TBC
Ile movie imeisha hivyo.
 
ninyi wanasiasa, jambo moja nawashauri ni kwamba, ukitaka kutamka lolote, tamka kwa makini, usiache mianya ya kushitakiwa, na usiongee bila kujiandaa. mfano, ukitaka kukosoa kesho, kuanzia leo pangilia maneno ili isiwe rahisi kufunguliwa mashtaka. ni ushauri tu.
Kwa hiyo kaachiwa huru sababu hazikiwa tena habari za uongo?

We naye ndio wale wale tu
 
Ameshika adabu sasa!! Ameionja joto ya jiwe!
Na Bado jamaa Sanduku la kura akapigwa chini.

Yule jamaa aisee alikuwa mtu na nusu. Ana influence sana. Sijui ilikuwaje watu wakshindwa kumgundua toka kitambo.
 
Kwa hiyo kaachiwa huru sababu hazikiwa tena habari za uongo?

We naye ndio wale wale tu
naamini angeongea kwa technique, wala wasingekuwa na sababu ya kumkamata na ujumbe angekuwa ameshafikisha. kwa mujibu wa ile clip, kutaja kwake usalama na jeshi inaonyesha ndio ilisababisha wamrukie. yupo nje sasa, anatakiwa kuwa makini kwenye kauli ili tuendelee kupata ujume wake akiwa nje.mwanajeshi wa kisiasa unatakiwa kuwa na akili na ujanja sana kwani wakikukamata na kukupeleka lupango wanakurudisha nyuma sana.
 
Unateseka ukiwa upande gani hapo kizimkazi?
Mrembo una sonona ya kuachwa.Baba yako alifanya kosa sana kutotumia condom.Madhara yake ndio yanaonekana sasa.Umekuwa kama kuku aliyekatwa kichwa hujui ulipo.
 
naamini angeongea kwa technique, wala wasingekuwa na sababu ya kumkamata na ujumbe angekuwa ameshafikisha. kwa mujibu wa ile clip, kutaja kwake usalama na jeshi inaonyesha ndio ilisababisha wamrukie. yupo nje sasa, anatakiwa kuwa makini kwenye kauli ili tuendelee kupata ujume wake akiwa nje.mwanajeshi wa kisiasa unatakiwa kuwa na akili na ujanja sana kwani wakikukamata na kukupeleka lupango wanakurudisha nyuma sana.
Wangemkamata tu wakiamua. Hawana fomula ya kukamata, wakijisikia tu utadakwa.
 
Back
Top Bottom