Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Ule ulikuwa mtego ambao ulihitaji maamuzi ya busara, kilaza kama wewe lazima ungeingia mkengeMlisema hivi wakati akimlima tundu kofuli la week, lakini Tundu mwenyewe kapokea kwa moyo mkunjufu na katekeleza adhabu kwa utiifu uliotukuka
Jidanganye na ICC yako..... Inchi kama Burundi ilishajitoa na ICC yenu... Iweje TANZANIA [emoji1241]?, mnafikiria kwa kutumia kamasi. Ulishaona rais mweupe wa ulaya akashitakiwa na huyo mamaenu ICC? Kichwa kama ICC shenzi
Mgombea wako wa CCM anapotisha wananchi kuwa hatapeleka maji hilo ni jambo safi kwenu?Mkurugenzi wa uchaguzi katika tume ya uchaguzi ameonya wagombea wote wanaotoa lugha za uchochezi, matusi na vitisho kwamba watafutwa na kuondolewa kwenye uchaguzi.
Dr Mahera amesema Tume yake haitavumilia wagombea waliopungukiwa maadili, heshima na ustaarabu.
Source Eatv habari
Maendeleo hayana vyama!
View attachment 1591389
Ni kweli ni mgombea kama walivyo wengine, ila ukitaka kuuona upekee wake waulize Tume, CCM, Polisi, na wengineo ni nani anawasababisha wasilale kipindi hiki?Tundu Lisu ni mgombea tu kama alivyo Hashimu Rungwe!
Kama kuna mgombea anaongoza kwa kutoa matusi na vitisho hadi hivi sasa ni mgombea wa CCMMkurugenzi wa uchaguzi katika tume ya uchaguzi ameonya wagombea wote wanaotoa lugha za uchochezi, matusi na vitisho kwamba watafutwa na kuondolewa kwenye uchaguzi.
Dr Mahera amesema Tume yake haitavumilia wagombea waliopungukiwa maadili, heshima na ustaarabu.
Source Eatv habari
Maendeleo hayana vyama!
View attachment 1591389
Mkurugenzi wa uchaguzi katika tume ya uchaguzi ameonya wagombea wote wanaotoa lugha za uchochezi, matusi na vitisho kwamba watafutwa na kuondolewa kwenye uchaguzi.
Dr Mahera amesema Tume yake haitavumilia wagombea waliopungukiwa maadili, heshima na ustaarabu.
Source Eatv habari
Maendeleo hayana vyama!
View attachment 1591389
Kutoa toa vitisho badala ya hoja ni ushuhuda kuwa mnafahamu kwamba mshachokwa.Mtaona aibu sana, nyie endeleeni na upuuzi wenu,
Nasikia tarime mlipiga watu na mapanga mtafutwa na hakuna sehemu mtaenda.
Atamshtaki MIGA!huyu inaelekea hamjui Tundu Lissu huyu... ATALEGEA tu kama bosi wake!
Huyo siyo mtanzania, njoo kivingine, usitishie kutumia vitu vya Bosinia ambako hujawahi kuishi wala hupajui.
Matusi ni nini ?
Hiyo haizuii kuipeleka kujiu mashitaka ya uhalifu dhidi ya binadamu. The ICC lacks universal territorial jurisdiction, and may only investigate and prosecute crimes committed within member states, crimes committed by nationals of member states, or crimes in situations referred to the Court by the United Nations Security Council.ilishajitoa na ICC yenu... I
Ndio, kasome kuhusu Morodon Slobovic aliyekuwa rais wa Yugoslavia.Jidanganye na ICC yako..... Inchi kama Burundi ilishajitoa na ICC yenu... Iweje TANZANIA [emoji1241]?, mnafikiria kwa kutumia kamasi. Ulishaona rais mweupe wa ulaya akashitakiwa na huyo mamaenu ICC? Kichwa kama ICC shenzi
Nobody can give you freedom. Nobody can give you equality or justice or anything. If you're a man, you take it.” ~ Malcolm XMkurugenzi wa uchaguzi katika tume ya uchaguzi ameonya wagombea wote wanaotoa lugha za uchochezi, matusi na vitisho kwamba watafutwa na kuondolewa kwenye uchaguzi.
Dr Mahera amesema Tume yake haitavumilia wagombea waliopungukiwa maadili, heshima na ustaarabu.
Source Eatv habari
Maendeleo hayana vyama!
View attachment 1591389
Ndio, kasome kuhusu Morodon Slobovicaliyekuwa rais wa Yugoslavia.Jidanganye na ICC yako..... Inchi kama Burundi ilishajitoa na ICC yenu... Iweje TANZANIA [emoji1241]?, mnafikiria kwa kutumia kamasi. Ulishaona rais mweupe wa ulaya akashitakiwa na huyo mamaenu ICC? Kichwa kama ICC shenzi
Endelea kujifariji ti ndugu ni haki yako.Kutoa toa vitisho badala ya hoja ni ushuhuda kuwa mnafahamu kwamba mshachokwa.
Kila mlumumba anajiona kuwa yeye NEC.
Kama ilivyokea kwa madikteta wengine, hamtaamini yatakayowatokea.