Dodi Al Fayed mchumba wa Princess Diana mpaka Kifo!

Ila baharia aliamua kujilipua aiseee
 
Alianza kutembea na mlinzi wake. Hadi mlinzi akahamishwa kutengo na kusemekana kuuwawa baadaye. Tena akaanza kutembea na mwalimu wa kufundisha habari za farasi. Baada ya kuachana ndiyo kaanza na huyo Dodi.
Hasnat Khan umemuacha wapi? Hewitt je ( ndo eti mshua wa Harry
 
The Day Princess Diana Died, aisee ichi kitabu ukikisoma utajua visa vingi vya royal family ya uingereza na huusika wa Queen Elizabeth wa pili katika assasination ya princess iliyotokea Nice,France
 
Dodi alimdanganya kuwa ana ulinzi mkali kiasi Eliza hamkuti hata kwa nukta..

Di akaingia kichwa kichwa[emoji848]
 
Investigation Discovery Channel wamesema baada ya uchunguzi wa muda mrefu, next week wanakuja na full documentary kuhusu vifo vya watu hawa wawili. Tunasubiria.
Baada ya malkia kufa sio
 
Sasa kama Chalz alikuwa hamfanyi angefanyaje?
😀😀kasome kitabu kinaitwa THE DAY PRINCESS DIANA DIED, utajua kisa na mkasa cha princess kumuacha king Charles na kwenda kuanzisha mapenzi na mtoto wa billionaire wa Uk, Dodi, princess diana alikuwa ananyanyasika full kipigo kutoka kwa king Charles, charles mapenzi yake ayakuwa kwa Diana ni kama alijikuta tu kwenye ndoa naye, kwa kushinikizwa , ivyo charles alitafuta kimada ambaye sa hivi ndo mke wake,na ndo queen sa hivi, diana baada ya kuchoka manyanyaso akaamua atafute upendo ndo akajikuta kwa Dodi, icho kitu kilimuuzi marehemu queen Elizabeth na ikawa kama aibu kwa royal family, na ili kuzuia aibu zaidi , queen Elizabeth wakapanga assassination ya Diana, wakavizia ameenda france kula bata wakatengeneza ajali iliyomuua, iyo royal family wanaroho mbaya kisenge kuanzia queen Elizabeth , we huoni hadi harry kaamua kuwakataa kwa sababu za ubaguzi, kama queen na wanae walikuwa wanambagua harry na wife na watoto wa harry kisa ya asili ya merghan vipi kuhusu kuwapenda ngozi nyeusi na africa?
 
Fayed mpaka kakimbia London nadhani anaishi Greece ...

Yule mzee itakuwa kafurahi kinoma!
 
The Day Princess Diana Died, aisee ichi kitabu ukikisoma utajua visa vingi vya royal family ya uingereza na huusika wa Queen Elizabeth wa pili katika assasination ya princess iliyotokea Nice,France
Maisha bana sasa huyu bibi alipata faida gani...nae mbona kasepa!
 
We humuoni ile clip inazagaa Charles kauruka mkoni wa mtu mweusi kimakusudically....hili zee baguzi balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…