Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na waliomuua nao wamesepa now...kabaki mmoja Le chalzHuyo walimuua
Ila baharia aliamua kujilipua aiseeeDodi (mtoto wa aliyekua Mmiliki wa Fulham FC) ndie alimvalisha Pete ya uchumba princess Diana Ila bahati mbaya hawakufikia ndoa. Laiti Leo hii Princess angekuwa hai basi Mfalme (ajae) wa Uingereza, Prince William angekuwa na ndugu wanaechangia Mama tokea nje ya Uingereza. Hakika dunia ingekuwa mahali salama pa kuishi. No more threats yaani ni full peace.
Mrembo kinoma!...sasa Camila kitu gani... Charles bana [emoji848][emoji848]Ila Diana alikua mzuri tuache utani
Josh[emoji38][emoji38][emoji16]Tuma salamu kwa watu watatu!
Sasa kama Chalz alikuwa hamfanyi angefanyaje?Diana nafikiri alikuwa na pepo la ngono. Kuna uwezekano mkubwa Harry siyo mtoto wa Charles.
Hasnat Khan umemuacha wapi? Hewitt je ( ndo eti mshua wa HarryAlianza kutembea na mlinzi wake. Hadi mlinzi akahamishwa kutengo na kusemekana kuuwawa baadaye. Tena akaanza kutembea na mwalimu wa kufundisha habari za farasi. Baada ya kuachana ndiyo kaanza na huyo Dodi.
The Day Princess Diana Died, aisee ichi kitabu ukikisoma utajua visa vingi vya royal family ya uingereza na huusika wa Queen Elizabeth wa pili katika assasination ya princess iliyotokea Nice,FranceDodi (mtoto wa aliyekua Mmiliki wa Fulham FC) ndie alimvalisha Pete ya uchumba princess Diana Ila bahati mbaya hawakufikia ndoa. Laiti Leo hii Princess angekuwa hai basi Mfalme (ajae) wa Uingereza, Prince William angekuwa na ndugu wanaechangia Mama tokea nje ya Uingereza. Hakika dunia ingekuwa mahali salama pa kuishi. No more threats yaani ni full peace.
Not true ...kabla ya huyo Dodi Di alikuwa na wanaume kibao tu, dodi kamjua mwishoni na wakadedishwaYeah kuna za chinichini kwamba Harry ni mwana haram, wanasema Princess Diana alikuwa anacheat na Dodi wakati yuko na Charles,
Ndio maana dogo haeleweki eleweki
Dodi alimdanganya kuwa ana ulinzi mkali kiasi Eliza hamkuti hata kwa nukta..Diana alikosea.Ingawa washabiki wake wanampenda sana na kumtetea.Kuna mambo hawayafikirii kwa undani kiasi;
-Kuibiwa mke kunaumiza sana kwa mume bila kujali kiwango cha mapenzi yenu.
-Alipolalamika mumewe malaya(mfalme wa sasa)alipaswa kuweka kichwani kwamba wanaume wamezaliwa na "kijiumalaya" fulani hivi.Alitakiwa awe mkali tu na si kuchepuka.
-Diana alipaswa achague aina,asili ya mtu na wakati wa kuchepuka.
-Hakutakiwa kushika mimba ya hawara yake huyo.Makosa!
-Alipaswa na aliijua nguvu ya ukoo na wanaouzunguka ufalme.Hakupaswa kuwajaribu.
Alipaswa kujua kwamba Royal families huenenda kwa kanuni,sheria,taratibu na tamaduni zisizobadilikabadilika.They are going by the book.Alipaswa atumie jicho la tatu hadi la nne kuyaishi aliyoyaishi.
Huenda Camila alikuwa mtamu, Diana mzuri ila huenda hakuwa mtam[emoji1787]Mrembo kinoma!...sasa Camila kitu gani... Charles bana [emoji848][emoji848]
Baada ya malkia kufa sioInvestigation Discovery Channel wamesema baada ya uchunguzi wa muda mrefu, next week wanakuja na full documentary kuhusu vifo vya watu hawa wawili. Tunasubiria.
😀😀kasome kitabu kinaitwa THE DAY PRINCESS DIANA DIED, utajua kisa na mkasa cha princess kumuacha king Charles na kwenda kuanzisha mapenzi na mtoto wa billionaire wa Uk, Dodi, princess diana alikuwa ananyanyasika full kipigo kutoka kwa king Charles, charles mapenzi yake ayakuwa kwa Diana ni kama alijikuta tu kwenye ndoa naye, kwa kushinikizwa , ivyo charles alitafuta kimada ambaye sa hivi ndo mke wake,na ndo queen sa hivi, diana baada ya kuchoka manyanyaso akaamua atafute upendo ndo akajikuta kwa Dodi, icho kitu kilimuuzi marehemu queen Elizabeth na ikawa kama aibu kwa royal family, na ili kuzuia aibu zaidi , queen Elizabeth wakapanga assassination ya Diana, wakavizia ameenda france kula bata wakatengeneza ajali iliyomuua, iyo royal family wanaroho mbaya kisenge kuanzia queen Elizabeth , we huoni hadi harry kaamua kuwakataa kwa sababu za ubaguzi, kama queen na wanae walikuwa wanambagua harry na wife na watoto wa harry kisa ya asili ya merghan vipi kuhusu kuwapenda ngozi nyeusi na africa?Sasa kama Chalz alikuwa hamfanyi angefanyaje?
Fayed mpaka kakimbia London nadhani anaishi Greece ...Walisema sana ila mwisho Malkia akatoa makucha kwa hasira akasema muache Mara moja kufuatilia familia la sivyo tuna mkono mrefu (kitu kama hicho)
Waandishi wa Habari na TV zote zilishika adabu na kukaa kimya
Onyo alitoa mwenyewe Malkia kwenye hotuba yake LIVE
Tulishtuka sana siku hiyo hakuna alietegemea
Ila Al Fayed aliwaandama sana na kumtuhumu Malkia moja kwa moja
Maisha bana sasa huyu bibi alipata faida gani...nae mbona kasepa!The Day Princess Diana Died, aisee ichi kitabu ukikisoma utajua visa vingi vya royal family ya uingereza na huusika wa Queen Elizabeth wa pili katika assasination ya princess iliyotokea Nice,France
Kweli asee licamilla lina minyama nyama supu supu[emoji38][emoji38][emoji1787]Huenda Camila alikuwa mtamu, Diana mzuri ila huenda hakuwa mtam[emoji1787]
Ukiwa Queen au King unatakiwa kuwa katili😀😀Maisha bana sasa huyu bibi alipata faida gani...nae mbona kasepa!
Illuminati/ masonic full ukatiliUkiwa Queen au King unatakiwa kuwa katili[emoji3][emoji3]
Hakuna natural death pale, huyu eliza ndio kafa natural deathDodi na Diana walistahili kifo jcha kupanga japo walikufa natural death.
We humuoni ile clip inazagaa Charles kauruka mkoni wa mtu mweusi kimakusudically....hili zee baguzi balaa[emoji3][emoji3]kasome kitabu kinaitwa THE DAY PRINCESS DIANA DIED, utajua kisa na mkasa cha princess kumuacha king Charles na kwenda kuanzisha mapenzi na mtoto wa billionaire wa Uk, Dodi, princess diana alikuwa ananyanyasika full kipigo kutoka kwa king Charles, charles mapenzi yake ayakuwa kwa Diana ni kama alijikuta tu kwenye ndoa naye, kwa kushinikizwa , ivyo charles alitafuta kimada ambaye sa hivi ndo mke wake,na ndo queen sa hivi, diana baada ya kuchoka manyanyaso akaamua atafute upendo ndo akajikuta kwa Dodi, icho kitu kilimuuzi marehemu queen Elizabeth na ikawa kama aibu kwa royal family, na ili kuzuia aibu zaidi , queen Elizabeth wakapanga assassination ya Diana, wakavizia ameenda france kula bata wakatengeneza ajali iliyomuua, iyo royal family wanaroho mbaya kisenge kuanzia queen Elizabeth , we huoni hadi harry kaamua kuwakataa kwa sababu za ubaguzi, kama queen na wanae walikuwa wanambagua harry na wife na watoto wa harry kisa ya asili ya merghan vipi kuhusu kuwapenda ngozi nyeusi na africa?