Dodoma: Askofu Gwajima afika Bungeni kuhojiwa na Kamati ya Maadili akiwa na ulinzi wa Polisi

Dodoma: Askofu Gwajima afika Bungeni kuhojiwa na Kamati ya Maadili akiwa na ulinzi wa Polisi

Hii itathibitisha madai kuwa CCM ni wauaji. Baba askofu, hamia CHADEMA. Huko siyo nyumbani kwako tena. Aliyekuingiza huko alishakufa.
 
"Naweza kukaa sehemu yeyote.."Askofu kama anastukia kiti cha kuelekezwa. Duuh! Akiri Neno la Mungu, "Hata tukilishwa vya kufisha, tutakanyaga nge na nyoka lakini..."
.
Lakini kile kiti cha kwanzaa kilikuwa cha hadhi ya chini ukilinganisha na viti walivyokalia na wale wana kamati.
 
Polisi wa nini sasa kama sio kumpa promo huyu confused personality
Polisi kwa ajili ya Ulinzi wake.
Hivi siku hizi kulindwa /kusindikizwa na polisi ni promo eti? mbona magari yanayosafirisha fedha yanakuwa na Ulinzi wa polisi?
 
Polisi kwa ajili ya Ulinzi wake.
Hivi siku hizi kulindwa /kusindikizwa na polisi ni promo eti? mbona magari yanayosafirisha fedha yanakuwa na Ulinzi wa polisi?
Huwezi kuelewa muktadha

uko shallow

wenye depth wameelewa
 
Leo lazima kiti kiwake moto, nchi hii, imechezewa sana inahitaji watumishi bora kama Askofu Gwajima, kuitakasa kwa upako wa ufufuo na uzima. Chonde chonde wasije kumKorimba, mtumishi wa mwenyezi Mungu Mkuu, DR. Rashid Joseph Gwajima! Microphone, kaa mbali nayo mita moja.
aliomba kubadilishiwa
 
Mtu labda ni kijana na afya njema, hata Corona ikikupitia una nafasi kubwa ya kupona lakini unashinda mitandaoni kuwatisha watu wenye afya zinazohitaji
chanjo gani kuchoma mpaka ujaze fomu, Kwanini zingine hazina fomu na tatizo lingine watalaam tunaowaamini wanatofautiana kuhusu hiyo chanjo.
 
Back
Top Bottom