Dodoma: Basi lililobeba Wabunge wa Tanzania lagonga Lori na kuwajeruhi Wabunge 23

Wafe tu, kwani wangapi kati yao walilaani hadharani na kukemea kutekwa na kuuawa kwa Ali Kibao.
Ubaya ubwela phrase ya Kizaramo.
 
Yule bibi kiongozi wa Puerto Rico kafara imemgomea, dah....🤔🤔
 
Chawa ama kwa kujua ama bila kijua na wanajukwa chawa kama akina naniliu wanaweza kuthibitisha.Vinginevyo acha kudandia yale ambayo

Tumeamua kudanganyana,ama kudanganya tunao uchaguzi ama mfumo wa uchaguzi,hata mtoto atakuambia tunachofanya ni kuonyesha ujinga wa Kitanzania.
Watanzania wameshachagua acha makasiriko
 
Ok
 
Kuna mbunge majeruhi mmoja kasema anamshukuru rais Samia Kwa ujenzi wa barabara nzuri ambayo imeweza kuwaokoa na hiyo ajali.Maana ingekuwa barabara mbaya huenda wangepoteza maisha kabisa

Kuna mbunge majeruhi mmoja kasema anamshukuru rais Samia Kwa ujenzi wa barabara nzuri ambayo imeweza kuwaokoa na hiyo ajali.Maana ingekuwa barabara mbaya huenda wangepoteza maisha kabisa
Mbona barabara ya Morogoro to Dodoma ulijengwa tangu Mwaka 1986 Kwa Mkopo wa masharti nafuu kutoka Brazil. Huyu Samia anaingiaje hapa?
 
Nionavyo dereva wa bus alitakaku-overtake lorry ila akaona kuna gari linakuja opp direction akarudi mwingi kushoto akaligonga lorry kulia kwake na kwa bus.
Ukiangalia bus limepata damege upande wa dereva so unachoseama sio sawa maana TZ ni right hand. Hicho kingekuwa sawa kama upande wa kushoto ungekuwa ndio umeumia.
 
Hii ajali imeniudhi sana.
Haijaleta matokeo chanya.
Hata hivyo poleni waheshimiwa!
 
Da ukisoma koment utagundua watu wanachuki na wabunge wao.

Jamani tuwapende waheshimiwa wetu🤣🤣🤣🤣🤣🤣😃🤣🤣😃
 
Wakirudi bungeni walete Muswada wa kujenga barabara nne
 
Ukiangalia bus limepata damege upande wa dereva so unachoseama sio sawa maana TZ ni right hand. Hicho kingekuwa sawa kama upande wa kushoto ungekuwa ndio umeumia.
Alikunja nyingi kushoto mpaka usawa wa dereva wa basi ukaligonga lorry. Yaani asingegonga angepitiliza kushoto.
 
Wakirudi bungeni watenge bajeti kuhakikisha barabara zote kubwa ni njia nne.
Wameshatenga toka 2022 lakini hawana SMARTNESS,wanachekq na bibi yeye anahanisha.pesa.kwenda Zenji
 
Yaani hadi sasa hakuna hata mmoja aliyekufa? Hilo lilitakiwa likatumbukia bahari pale Likoni Mombasa wafe wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…