Ndiyo hivyo usha sema sasa! Umeeleweka.Sijui nilikuwa nataka kusemaje ila mungu anisamehe kwa mawazo mabaya je Hamna Rip?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo hivyo usha sema sasa! Umeeleweka.Sijui nilikuwa nataka kusemaje ila mungu anisamehe kwa mawazo mabaya je Hamna Rip?
Wafe tu, kwani wangapi kati yao walilaani hadharani na kukemea kutekwa na kuuawa kwa Ali Kibao.Kumuombea mtu afikwe na jambo Baya hakukufanyi wewe uliye mzima uwe katika watu Bora walio wazima.
Uzima wetu ni Neema tu ya Mungu na si kama tumefanya mema kuliko waliyopata Ajali au waliokufa.
Kikubwa tuwaombee wapone haraka, na Mungu atu jaalie tuwe na mwisho mwema pindi atakapo tuita kwake kusubiri hukumu zetu.
Yule bibi kiongozi wa Puerto Rico kafara imemgomea, dah....🤔🤔Moja ya basi lililokuwa limewabeba Waheshimiwa Wabunge wanaoelekea kwenye Mashindano ya Michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki limepata ajali ya kugongana na lori la mizigo maeneo ya Mbande Kongwa asubuhi hii.
Majeruhi wa ajali hiyo wamekimbizwa Hospitali ya Uhuru na Hospitali ya Benjamini Mkapa za Mkoani Dodoma.
========
Baadhi ya wabunge waliokuwa wanasafiri kuelekea Mombasa Kenya kushiriki mashindano ya 14 ya Mabunge ya Afrika Mashariki, wamepata ajali katika eneo la Mbande mkoani Dodoma baada ya Basi waliokuwa wakisafiria kugongana na Lori.
Chawa ama kwa kujua ama bila kijua na wanajukwa chawa kama akina naniliu wanaweza kuthibitisha.Vinginevyo acha kudandia yale ambayo
Watanzania wameshachagua acha makasirikoTumeamua kudanganyana,ama kudanganya tunao uchaguzi ama mfumo wa uchaguzi,hata mtoto atakuambia tunachofanya ni kuonyesha ujinga wa Kitanzania.
OkMoja ya basi lililokuwa limewabeba Waheshimiwa Wabunge wanaoelekea kwenye Mashindano ya Michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki limepata ajali ya kugongana na lori la mizigo maeneo ya Mbande Kongwa asubuhi hii.
Majeruhi wa ajali hiyo wamekimbizwa Hospitali ya Uhuru na Hospitali ya Benjamini Mkapa za Mkoani Dodoma.
========
Baadhi ya wabunge waliokuwa wanasafiri kuelekea Mombasa Kenya kushiriki mashindano ya 14 ya Mabunge ya Afrika Mashariki, wamepata ajali katika eneo la Mbande mkoani Dodoma baada ya Basi waliokuwa wakisafiria kugongana na Lori.
Kuna mbunge majeruhi mmoja kasema anamshukuru rais Samia Kwa ujenzi wa barabara nzuri ambayo imeweza kuwaokoa na hiyo ajali.Maana ingekuwa barabara mbaya huenda wangepoteza maisha kabisa
Mbona barabara ya Morogoro to Dodoma ulijengwa tangu Mwaka 1986 Kwa Mkopo wa masharti nafuu kutoka Brazil. Huyu Samia anaingiaje hapa?Kuna mbunge majeruhi mmoja kasema anamshukuru rais Samia Kwa ujenzi wa barabara nzuri ambayo imeweza kuwaokoa na hiyo ajali.Maana ingekuwa barabara mbaya huenda wangepoteza maisha kabisa
Ukiangalia bus limepata damege upande wa dereva so unachoseama sio sawa maana TZ ni right hand. Hicho kingekuwa sawa kama upande wa kushoto ungekuwa ndio umeumia.Nionavyo dereva wa bus alitakaku-overtake lorry ila akaona kuna gari linakuja opp direction akarudi mwingi kushoto akaligonga lorry kulia kwake na kwa bus.
AmenKama umesikitishwa Mungu akubariki
Sio Mungu,ShetaniKuna jambo Mungu anajaribu kutufunulia.
Kuna jambo Mungu anajaribu kutufunulia
Hayajafa aise.yani yangepita yote ingekuwa burudani. Kwanza yaliyomengi hayajachaguliwa.Eti yalipita bila kupingwa.Wamekufa wangapi?
Kuna maoni au chuki wenzenu ndyo washapataUhuru wa maoni ya mtu uheshimiwe
Alikunja nyingi kushoto mpaka usawa wa dereva wa basi ukaligonga lorry. Yaani asingegonga angepitiliza kushoto.Ukiangalia bus limepata damege upande wa dereva so unachoseama sio sawa maana TZ ni right hand. Hicho kingekuwa sawa kama upande wa kushoto ungekuwa ndio umeumia.
Wameshatenga toka 2022 lakini hawana SMARTNESS,wanachekq na bibi yeye anahanisha.pesa.kwenda ZenjiWakirudi bungeni watenge bajeti kuhakikisha barabara zote kubwa ni njia nne.
Kuna mmoja amekaa hapo chini anahesabu poshoSijui nilikuwa nataka kusemaje ila mungu anisamehe kwa mawazo mabaya je Hamna Rip?
Kale kalikokwemda kumtembelea Putin kalitakiwa kawe pale mbele kuongoza msafara,kalichangia Magu kuiba haki.hahahaha bado kidogo tu TUNGEPATA SIKU KADHAA ZA MAPUMZIKO