Povu la Nini Mzee? Nimeuliza tu maana ajari nyingi hasa za barabarani lazima vitokee vifo!Wewe huna huzuni ? Kwenu hayupo Mbunge wa kuonewa huruma ? Sababu familia zingine Kiongozi mkubwa kabisa ni mwenyeki wa mtaa tena vijijini.
Sijui nilikuwa nataka kusemaje ila mungu anisamehe kwa mawazo mabaya je Hamna Rip?Moja ya basi lililokuwa limewabeba Waheshimiwa Wabunge wanaoelekea kwenye Mashindano ya Michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki limepata ajali ya kugongana na lori la mizigo maeneo ya Mbande Kongwa asubuhi hii.
Majeruhi wa ajali hiyo wamekimbizwa Hospitali ya Uhuru na Hospitali ya Benjamini Mkapa za Mkoani Dodoma.
Baadhi ya wabunge waliokuwa wanasafiri kuelekea Mombasa Kenya kushiriki mashindano ya 14 ya Mabunge ya Afrika Mashariki, wamepata ajali katika eneo la Mbande mkoani Dodoma baada ya waliokuwa wakisafiria kugongana na Lori.
🙄🙄Mkuu unaulizia vifo Tena!idadi yavifo mbona Hakuna?☹️☹️☹️☹️
Kwani ni taarifa nzuri ili utowe shukurani badala ya pole?Ahsante kwa taarifa Mtoa Taarifa
Pole yao wabungePovu la Nini Mzee? Nimeuliza tu maana ajari nyingi hasa za barabarani lazima vitokee vifo!
Kazi ipoWatu wanataka kupotezana mapema kabla ya 2025 mamaaeee
ili nishushe bendera ofisini hapa🙄🙄Mkuu unaulizia vifo Tena!
Na ww ni mbunge?Pole yao wabunge
Kisomo Cha Tanga 🐼Moja ya basi lililokuwa limewabeba Waheshimiwa Wabunge wanaoelekea kwenye Mashindano ya Michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki limepata ajali ya kugongana na lori la mizigo maeneo ya Mbande Kongwa asubuhi hii.
Majeruhi wa ajali hiyo wamekimbizwa Hospitali ya Uhuru na Hospitali ya Benjamini Mkapa za Mkoani Dodoma.
========
Baadhi ya wabunge waliokuwa wanasafiri kuelekea Mombasa Kenya kushiriki mashindano ya 14 ya Mabunge ya Afrika Mashariki, wamepata ajali katika eneo la Mbande mkoani Dodoma baada ya Basi waliokuwa wakisafiria kugongana na Lori.
View attachment 3170267
View attachment 3170269View attachment 3170270
View attachment 3170273
Wakisafiri kwenye magari yao mnaongea kwa nn wasipande gari moja kupunguza bajeti hii nchi wasemaji wengi sasaWabunge wanasafirije kwenye gari moja kama kumbikumbi?
Mungu adili na mashetaniMungu awafanyie wepesi wapone haraka na warudi katika hali zao za kawaida