Nkulu wa nchito
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,112
- 1,429
Mwenyezi Mungu awaponye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado wapo wapo sana. Hawawezi kupumzika.Wapumzike kwa Amani
HahahahahaahhhaahaWakirudi bungeni watenge bajeti kuhakikisha barabara zote kubwa ni njia nne.
Sport onDah aseee kweli mmewachoka hawa vibaka.
Hapo utakuta basi lilikuwa mwendo wa ngiri na kufanya vurugu barabarani kisa tu limebeba wakujiita "waheshimiwa".
Maana hii nchi watunga sheria na walinda sheria ndio wanaongoza kuvunja sheria.
Wivu utakuua halafu ukiishi hvyo kama unavyoishi maisha yako ya hapa dunian utaishi kwa shida sana hata ukiwa na utajiri utaishi kwa shida huo ni wivu tu unakusumbua halafu kama ww ni mwanaume basi unafeli sanaSAFI SANA
Ndugu puff adder vipi kama ungefanikiwa kukatiza eneo la tukio ungeokoa wangapiidadi yavifo mbona Hakuna?☹️☹️☹️☹️
Hata wewe unashindwa kuwapapole ndugu zako?Kisomo Cha Tanga 🐼
Watademand kuanza kusafiri kwa ndege, kisingizio ni ajali ambayo huenda chanzo ni wao walikuwa wanamcontrol derevaMoja ya basi lililokuwa limewabeba Waheshimiwa Wabunge wanaoelekea kwenye Mashindano ya Michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki limepata ajali ya kugongana na lori la mizigo maeneo ya Mbande Kongwa asubuhi hii.
Majeruhi wa ajali hiyo wamekimbizwa Hospitali ya Uhuru na Hospitali ya Benjamini Mkapa za Mkoani Dodoma.
Poleni waheshimiwa Mungu awajalie mpone kwa haraka safari si njema kwenuMoja ya basi lililokuwa limewabeba Waheshimiwa Wabunge wanaoelekea kwenye Mashindano ya Michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki limepata ajali ya kugongana na lori la mizigo maeneo ya Mbande Kongwa asubuhi hii.
Majeruhi wa ajali hiyo wamekimbizwa Hospitali ya Uhuru na Hospitali ya Benjamini Mkapa za Mkoani Dodoma.
========
Baadhi ya wabunge waliokuwa wanasafiri kuelekea Mombasa Kenya kushiriki mashindano ya 14 ya Mabunge ya Afrika Mashariki, wamepata ajali katika eneo la Mbande mkoani Dodoma baada ya Basi waliokuwa wakisafiria kugongana na Lori.
View attachment 3170267
View attachment 3170269View attachment 3170270
View attachment 3170273
Kila siku nasema tatizo la hii nchi wala sio Walamba Asali bali ni utamaduni uliojengeka kwamba ukiwa Mbunge au Kiongozi unakuwa mtawala na kuishi tofauti na wengine (Kama wananchi wanapanda hata baiskeli na wengine kutembea kwa miguu au kusafiri kwa malori) hao watumishi wao ni kina nani wasipande usafiri ambao ni wa Majority ?!!!Wabunge wanasafirije kwenye gari moja kama kumbikumbi?
Umesoma hata habari yenyewe.Wabunge waliopata ajaji ni kina nani?Ndio u comment.Herd thinking ni tatizo kubwa.Watu wanataka kupotezana mapema kabla ya 2025 mamaaeee
Huenda alilazimishwa kuovertake kwenye kona alipoona gari jingine mbele akarudi ghafla kwa kukunja kona nyingiKwa muonekano wa hii ajali (bus imekula mbele kwa dereva na lorry nyuma upande wa dereva pia) hapo nashindwa kuimagine scenario ilikuwaje.