Dodoma: Basi lililobeba Wabunge wa Tanzania lagonga Lori na kuwajeruhi Wabunge 23

Napenda kuchukua nafasi hii kuwapa pole sana, waheshimiwa wa Bunge letu, kwa ajali mbaya ya gari ambayo ilitaka kuchukua uhai wa wabunge wetu.

Binafsi nawatakia majeruhi wote quick recovery ili waweze kuendelea na majukumu yao ya kulitumikia Taifa.

Maoni yangu, ningetamani kuona wanatumia ndege Kuliko mabasi!!!

πŸ™πŸ™πŸ™
 
Nionavyo dereva wa bus alitakaku-overtake lorry ila akaona kuna gari linakuja opp direction akarudi mwingi kushoto akaligonga lorry kulia kwake na kwa bus.
 
😳
 
Dah,
Idadi ya 😍 na πŸ˜ƒ kwenye "reactions" za uzi inaonyesha picha fulani kuhusu hao wahanga wanavyochukuliwa na wananchi
 
Msemaji wa Jeshi la polisi!
Kapiga kimyaπŸ˜„
 
Kwani kwa wingi wao huo hawakuwa na sweep car kwa usalama wao barabarani wakaachwa wajieendee tu bila usalama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…