Dodoma: Basi lililobeba Wabunge wa Tanzania lagonga Lori na kuwajeruhi Wabunge 23

Dodoma: Basi lililobeba Wabunge wa Tanzania lagonga Lori na kuwajeruhi Wabunge 23

Dah aseee kweli mmewachoka hawa vibaka.

Hapo utakuta basi lilikuwa mwendo wa ngiri na kufanya vurugu barabarani kisa tu limebeba wakujiita "waheshimiwa".

Maana hii nchi watunga sheria na walinda sheria ndio wanaongoza kuvunja sheria.
Lilikuwa linewabeba wahishimiwa "wabonge"!I wish ...!
 
Back
Top Bottom