Dodoma: Basi lililobeba Wabunge wa Tanzania lagonga Lori na kuwajeruhi Wabunge 23

Dodoma: Basi lililobeba Wabunge wa Tanzania lagonga Lori na kuwajeruhi Wabunge 23

Bunge la JPM uchafuzi 2020 matokeo ndiyo haya hatari sana mbaya zaidi SHH naye kaingilia mlango ule ule uchafuzi Serikali za Mitaa 2024 kuna hatari zaidi 2025 Raia wamechoka saaaana.
 
Huwezi kumuombea mema ambaye wema wenyewe hauitaji. Kama mnataka muombewe mema tendani haki na mwache kuteka watu na kuwaua kisa kutofautiana mawazo.

Ni lini umekuja humu ukamuombea aliyefikwa na madhila ya kutekwa au kufa kwa sababu ya kushambuliwa na policcm au ccm wenyewe?
ni muhimu kujidhihirisha gentleman,

huwezi kumendea mke wa watu kisirisiri halafu ukifumaniwa na kukapigwa mingeu ya maana, kwasasabu ya tamaa zako binafsi

ukakimbilia mitandaoni kutafuta huruma na kusingizia eti umetekwa,

that's nonsense gentleman 🐒
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Kila mtu na maoni yake minapendekeza wawe wanapanda magari tofauti
Kazi yao kuiba Kodi zetu Tena unawaongezea pesa ya mafuta kila mmoja,hao ni saccos ya kuiba Kodi zetu na kuleta bajeti hewa
 
Nimesoma mitandaoni comments kuhusu hii ajali,nadhani kuna kafunzo wabunge watakuwa wamepata
 
Nimepitia comments nyingi kwenye hii thread kwakweli ccm waa hane na wizi wa kura ninachokiona mwakani ni hatari kubwa Wananchi wamechoka
 
Moja ya basi lililokuwa limewabeba Waheshimiwa Wabunge wanaoelekea kwenye Mashindano ya Michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki limepata ajali ya kugongana na lori la mizigo maeneo ya Mbande Kongwa asubuhi hii.

Majeruhi wa ajali hiyo wamekimbizwa Hospitali ya Uhuru na Hospitali ya Benjamini Mkapa za Mkoani Dodoma.

========

Baadhi ya wabunge waliokuwa wanasafiri kuelekea Mombasa Kenya kushiriki mashindano ya 14 ya Mabunge ya Afrika Mashariki, wamepata ajali katika eneo la Mbande mkoani Dodoma baada ya Basi waliokuwa wakisafiria kugongana na Lori.
Hili bus waliuziwa na shabiby.....conflict of interest....HAMNEEE
 
.Hii ni laana ya matumizi mabaya ya Kodi zetu.mbunge anapokea milioni 13/mwezi.unanunuliwa v8,anapata bima ya kutibiwa sehemu yeyote duniani,unagharamiwa Kila kitu lakini wakati huohuo wabunge wakapendekeza mwalimu wa shahada alipwe laki tatu Kwa anayeanza.
Sasa ubunge utalinganisha na ualimu?
 
ni muhimu kujidhihirisha gentleman,

huwezi kumendea mke wa watu kisirisiri halafu ukifumaniwa na kukapigwa mingeu ya maana, kwasasabu ya tamaa zako binafsi

ukakimbilia mitandaoni kutafuta huruma na kusingizia eti umetekwa,

that's nonsense gentleman 🐒
Sioni hoja ya maana ulioandika.
 
Moja ya basi lililokuwa limewabeba Waheshimiwa Wabunge wanaoelekea kwenye Mashindano ya Michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki limepata ajali ya kugongana na lori la mizigo maeneo ya Mbande Kongwa asubuhi hii.

Majeruhi wa ajali hiyo wamekimbizwa Hospitali ya Uhuru na Hospitali ya Benjamini Mkapa za Mkoani Dodoma.

========

Baadhi ya wabunge waliokuwa wanasafiri kuelekea Mombasa Kenya kushiriki mashindano ya 14 ya Mabunge ya Afrika Mashariki, wamepata ajali katika eneo la Mbande mkoani Dodoma baada ya Basi waliokuwa wakisafiria kugongana na Lori.
Natoa pole kwa Tume ya uchaguzi NEC kwa ajali ya wabunge wao ..mm mgombea wangu walimkata
 
Huna hoja ya maana.
pole sana gentleman,
kwa kufikia ukomo wako wa mawazo mapya na fikra mbadala,

busara ikuelekeze kukaa kimya na upumzishe hiyo empty head basi gentleman?🐒
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Poleni sana wawakilishi wetu, Mungu awape sia njema kwa wale mliopata mushikeli..!
Kama hutojali, naomba unikumbushe walau vitu 3 ambavyo hawa watu unaweza kusema kabisa kwamba, yes hapa tuliwakilishwa. Please bro, just remind me
 
Back
Top Bottom