The Supreme Conqueror
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 458
- 1,280
Bunge la JPM uchafuzi 2020 matokeo ndiyo haya hatari sana mbaya zaidi SHH naye kaingilia mlango ule ule uchafuzi Serikali za Mitaa 2024 kuna hatari zaidi 2025 Raia wamechoka saaaana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni muhimu kujidhihirisha gentleman,Huwezi kumuombea mema ambaye wema wenyewe hauitaji. Kama mnataka muombewe mema tendani haki na mwache kuteka watu na kuwaua kisa kutofautiana mawazo.
Ni lini umekuja humu ukamuombea aliyefikwa na madhila ya kutekwa au kufa kwa sababu ya kushambuliwa na policcm au ccm wenyewe?
Kazi yao kuiba Kodi zetu Tena unawaongezea pesa ya mafuta kila mmoja,hao ni saccos ya kuiba Kodi zetu na kuleta bajeti hewaKila mtu na maoni yake minapendekeza wawe wanapanda magari tofauti
Hao wanafanya zinaa halafu hawaogi haraka haraka na hang over usubuhi.....Fafanua MKUU WENGINE HATUJUI
Hili bus waliuziwa na shabiby.....conflict of interest....HAMNEEEMoja ya basi lililokuwa limewabeba Waheshimiwa Wabunge wanaoelekea kwenye Mashindano ya Michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki limepata ajali ya kugongana na lori la mizigo maeneo ya Mbande Kongwa asubuhi hii.
Majeruhi wa ajali hiyo wamekimbizwa Hospitali ya Uhuru na Hospitali ya Benjamini Mkapa za Mkoani Dodoma.
========
Baadhi ya wabunge waliokuwa wanasafiri kuelekea Mombasa Kenya kushiriki mashindano ya 14 ya Mabunge ya Afrika Mashariki, wamepata ajali katika eneo la Mbande mkoani Dodoma baada ya Basi waliokuwa wakisafiria kugongana na Lori.
Sasa ubunge utalinganisha na ualimu?.Hii ni laana ya matumizi mabaya ya Kodi zetu.mbunge anapokea milioni 13/mwezi.unanunuliwa v8,anapata bima ya kutibiwa sehemu yeyote duniani,unagharamiwa Kila kitu lakini wakati huohuo wabunge wakapendekeza mwalimu wa shahada alipwe laki tatu Kwa anayeanza.
Sawa mkuu.Hao wanafanya zinaa halafu hawaogi haraka haraka na hang over usubuhi.....
Sioni hoja ya maana ulioandika.ni muhimu kujidhihirisha gentleman,
huwezi kumendea mke wa watu kisirisiri halafu ukifumaniwa na kukapigwa mingeu ya maana, kwasasabu ya tamaa zako binafsi
ukakimbilia mitandaoni kutafuta huruma na kusingizia eti umetekwa,
that's nonsense gentleman 🐒
huna haja ya kubabaika wala kumbwelambwela sasa,Sioni hoja ya maana ulioandika.
Natoa pole kwa Tume ya uchaguzi NEC kwa ajali ya wabunge wao ..mm mgombea wangu walimkataMoja ya basi lililokuwa limewabeba Waheshimiwa Wabunge wanaoelekea kwenye Mashindano ya Michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki limepata ajali ya kugongana na lori la mizigo maeneo ya Mbande Kongwa asubuhi hii.
Majeruhi wa ajali hiyo wamekimbizwa Hospitali ya Uhuru na Hospitali ya Benjamini Mkapa za Mkoani Dodoma.
========
Baadhi ya wabunge waliokuwa wanasafiri kuelekea Mombasa Kenya kushiriki mashindano ya 14 ya Mabunge ya Afrika Mashariki, wamepata ajali katika eneo la Mbande mkoani Dodoma baada ya Basi waliokuwa wakisafiria kugongana na Lori.
Huna hoja ya maana.huna haja ya kubabaika wala kumbwelambwela sasa,
inafaa upite kwa kasi ya mwendo wa ngiri gentleman 🐒
pole sana gentleman,Huna hoja ya maana.
Kama hutojali, naomba unikumbushe walau vitu 3 ambavyo hawa watu unaweza kusema kabisa kwamba, yes hapa tuliwakilishwa. Please bro, just remind mePoleni sana wawakilishi wetu, Mungu awape sia njema kwa wale mliopata mushikeli..!
Wengine hatuna haja nao bora wangeondoka woteMungu Amlinde Mpina