Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Kila kitu kipo poa tu ,mkataba uko vizuri kuliko hata ile aliyosaini mwamba JPM

Samia ameonesha ukweli kuwa hana baya lolote na uchumi wa nchi

Tulindanganywa sana tena sana na waongo wa mitandano

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
 
Kwa mkataba huu SSH yameisha mshinda sidhani kama anastahili kuwepo pale mpaka 2025 , sidhani
 
Mama Samia ni mtu mzuri sana, mimi nisingekodisha tu, ningeuza nusu ya fukwe za bahari kwa kila mkoa kwa muda wa miaka 33.
Yaani tuache kutengeneza hela mnataka fukwe zote tubaki nazo kwa ajili ya watu kwenda kujifunzia kubinuka beki?
 
Mbowe kaguswa sana kwa sababu ya uropokaji wake kuhusu Zanzibar na Uzanzibar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…