Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna taifa litakalozamishwa hapo. Yaani taifa lizamishwe kwa kukodisha magati mawili matatu?Tusubiri tuone wataoingia kwenye historia na vitabu vya Taifa hili kwa kuunga mkono kuzamisha Taifa.
Aaahaaaaaa,Wachangiaji wamepangwa kimkakati. Unafanya kwa niaba yangu ni lini ulikuja kuchukua maoni yetu?
Aliyemkata Lowassa 2015 na kumuweka Shujaa Magufuli Roho Mtakatifu amuatamie!Msikikize, bunge lipo live, siyo kama wakati wa mwenda zake.
Kaanza kwa kunukuu article 1 halafu akanukuu article 20.Amesoma kopengele gani?
Azimio la Bunge kuhusu Pendekezo la Kuridhiwa Mkataba baina ya Serikali ya Jamhuri ya Mungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai kwa lengo la kuanzisha Ushirikiano wa Kiuchumi na Kijamii katika Uendelezaji wa Maeneo ya Bandari Nchini leo Juni 10, 2023.
Acheni story hizo.Watanzania mbona hatuoni UKWELI Moja lengo hapa ni Bandari ya TANGA kumbukeni Bomba linapita hapo. Je wanataka kumiliki na Hilo Bomba?
Wachadema wachumia nini!?Wabunge wengi wa ccm Ni wachumia tumbo.
Ni lini ccm ilitoa maelezo mabaya ? subiri utekelezaji sasaMbona maelezo ni mazuri tu
cameraman kamzoom mbunge mmoja yupo busy instagram hana muda wa kusikiliza mauzo ya nchi, anaonekana kashavuta chake huyu
Kila kitu kipo poa tu ,mkataba uko vizuri kuliko hata ile aliyosaini mwamba JPM
Samia ameonesha ukweli kuwa hana baya lolote na uchumi wa nchi
Tulindanganywa sana tena sana na waongo wa mitandano
USSR
Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
Lengo ni kuwa DP world atamiliki Bandari zote, ndio maana wanasema kuwa DP World atahusika kutafuta masoko etcKwanza waingize kichwa kisha waingize lote.
Hajaisoma, katoa maelezo kisiasa na sio kitaalam.Kaanza kwa kunukuu article 1 halafu akanukuu article 20.
Mi naona wabunge wengi wana mambo yao....hakuna utulivu flani hivi kama tunavyofikiri kuwa hili jambo ni nyeti!cameraman kamzoom mbunge mmoja yupo busy instagram hana muda wa kusikiliza mauzo ya nchi, anaonekana kashavuta chake huyu