peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Prof. Mbarawa kama amekiri kuwa usimamizi wa bandari upo chini Kwanini asijiuzulu kumpisha mzawa Dr Charles Kimei?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe alikosea nini? Kwani bandari za zanzibar zipo kwenye mkataba?Mbowe alikosea sana na hili litaondoa ule ukaribu wake na Samia, hivyo asitegemee tena kupata chochote cha maana.
Alikosea
Alikosea
Asaini nini tena za kwetu? Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa👇🏾Asaini za kwenu
Well Said, bunge la vichaa na waganga njaaNCHI INA VIONGOZI MAJUHA.
Halafu wanajifanya wote hatujui kusomasasa wenyewe wamefunguka kuwa no ukomo
Utamfanya nn? Endelea kudhan huku ukitumia jina lako la bandiaKwa mkataba huu SSH yameisha mshinda sidhani kama anastahili kuwepo pale mpaka 2025 , sidhani
Mbowe ni bogus.Mbowe alikosea nini? Kwani bandari za zanzibar zipo kwenye mkataba?
Hawaelewi kitu maskini.Wachangiaji wenyewe wamezubaa kweli
Huyo sio Binti Mkuu, hiyo ni taasisi inatumia jina la Kike.Nilishakuonya mara nyingi we binti mimi sio saizi yako
Atapewa nafasi ya kuzungumza maana huyu ndiye Kisemeo chetu Bungeni kwa Sasa?Kuna bomu linaandaliwa na Mpina hapa nadhani hili litakuwa ni ICBM, sijui atapona nani
Mbarawa atuambie Bandari ya Mombasa na Durban zinaendeshwa na DP World hadi zikafikia huo ufanisi?Anaongeza “Hali ya sasa ya utendaji imeendelea kuwa ya kiwango cha chini ikilinganishwa na Bandari shindani kikanda. Kwa mfano, wastani wa meli kusubiri nangani kwa Bandari ya Dar es salaam ni Siku 5 ikilinganishwa na Siku 1.25 kwa Bandari ya Mombasa na siku 1.6 kwa Bandari ya Durban