Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Naona umuhimu wa wapinzani kuwapo bungeni, Magufuli umetuletea balaa kwa kupitisha pitisha wabunge wa ccm kwa mabavu
Hapa ilitakiwa wananchi wakiamshe kama walivyofanya wafanyabiashara wa Karikooo...!!!
 

Wabunge walioko bungen kwao aya mambo yako juu ya uwezo wao , mbunge anasema wenzetu wanapakua mizigo kwa siku tatu tena majirani , sasa si watume watu wajue why iko hivyo , badala yake mnakimbia mpa mwarabu why msimpe mkenya ambae inaonesha amekua na ufanisi katika endesha bandari zake , hamna akili
 
Wabunge waliongea mpaka sasa wamejitahidi kuonesha uzalendo kwa midomo yao. Je huu uzalendo utachukuliwa na waingia mikataba hiyo au nikupoza fukuto?

Bado swali la msingi na la muhimu halijajibiwa kwa nini bandari za Tanganyika tu kama ni suala la JMT?

Kingine nilicho ona ni umuhimu wa Watanganyika kujivunia na kuuthamini Utanganyika wao ndani ya JMT. Kuuthamini, kujivunia na kuuenzi Utanganyika wenu kutatuza heshima na utu wenu lakini kutasaidia kuheshimiana na kuimarisha Umoja wenye kuheshiniana na kuthaminiana ndani ya JMT.
 
Hatuna bunge tangu 2020, kuna kikundi cha mafisadi walioteuliwa na Magufuli ambao hawawezi kutetea maslahi ya nchi bali matumbo yao tu
 
Kwenye makubaliano ya mkataba tuwaambie DPWorld waipanue Mandela Road iwe njia Sita ili Lane mbiili ziwe za Malori ya kutoka Bandarini tu.
 
Mkuu tuache utani DPworld wako vizuri mizigo itamwagika sijui kama hiyo Mandela Road itapitika.
Ikishamwagika anayenufaika zaidi ni nami? Hoja si kwamba DP world wasipewe bandari nadhani waliowengi watakuwa wanakubali kuwa bandaro yetu ilihitaji kuendeshwa na wati wenye ujuzi na resources hakuna shaka juu ya hilo kwa DP world. Shida kelele hizi ni aina ya mkataba. Kama DP world kupewa bandari zilikiwepo toka mwaka jana na hakukuwa na kelele, kelele zimekuja baada ya vipengele ambavyo havieleweki kikiwemo cha kesi kuamuliwa S.A wakati ni juzi juzi tu bunhe hilihili lilipitisha kesi kuamuliwa hapa.
 
Wabunge wa CCM wanachosha kusikiliza. To time, Mbunge pekee ambaye kajitofautisha kidogo ni Prof Kitila..

Wengine wote ni upuuzi mtupu.
 
Mama kasaini mkataba wa ushirikiano na maendeleo kwa ajili ya Tanzania nzima, mwisho wa siku kila mamlaka ina uhuru wa utekelezaji.
Achana na habari za Mama, hata sharia hairuhusu, huyu ni Raisi wenu na sio Mama Yako! Usitafute sympathy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…