Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Hapana mdee hajajipanga ki hoja hop kapoteza tu mda eti ana speculate vya mbele, yule kapangwa ili aonekane mpinzani ila haja leta point hata moja anaongelea vitu vilio njee ya azimio
 
Spika hiyo phd ni ya ujinga aisee ubongo wake umejaa wadudu tu.

Anatetea nafasi yake kwa kuuza nchi.

Hata Yuda ana nafuu maana alirudisha pesa baada ya kumsaliti Yesu.

Ila hawa wanakula Rushwa wazi wazi.
 
Hivi ile ID yako ya Stateman uliidump.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…