imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Yeye mwenyewe Spika kaingia Bungeni kwa wizi wa kura Halima yuko Bungeni kinyume na Sheria na Katiba.Spika japo anataka kuhalalisha wizi,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye mwenyewe Spika kaingia Bungeni kwa wizi wa kura Halima yuko Bungeni kinyume na Sheria na Katiba.Spika japo anataka kuhalalisha wizi,
weka UTV kama una azamTBC wameona isiwe kesi, wamekata
Hivi hapa umeandika kwa lugha ipi vile?Wewe mswahili kaa kimya,kacheze kigodoro utingishe wowowo huelewi chochote
Hapana mdee hajajipanga ki hoja hop kapoteza tu mda eti ana speculate vya mbele, yule kapangwa ili aonekane mpinzani ila haja leta point hata moja anaongelea vitu vilio njee ya azimioMdee hoja anazo wa mwachee aongee mpaka mwisho, bunge sio mahakama maana naona kama mawakili wawili wanabishana na sio Spika na Mbunge.
Kama hawataki achangie wa mwambie akae chini basi.
Mbona kipindi cha Spika Sitta watu walikuwa wanafunguka kwenye Richmond.
hahahahahahaha wamekata matangazo
Kwamba hawajipendi kwa kuweka kura ya siri?Mwisho wa mjadala , Wanaosema ndioooooo wanyoshe mikono
Wanasema mizigo itapelekwa kwenye Bandari kavu kwa kutumia treni.Nakwambia hata lane sita hazitatosha, inabidi ziwe kuanzia 8.
Hivi ile ID yako ya Stateman uliidump.Spika hiyo phd ni ya ujinga aisee ubongo wake umejaa wadudu tu.
Anatetea nafasi yake kwa kuuza nchi.
Hata Yuda ana nafuu maana alirudisha pesa baada ya kumsaliti Yesu.
Ila hawa wanakula Rushwa wazi wazi.
Mkapa kabla ya Kufa alikiri kuwa alifanya Makosa... Ni wazi watanzania walikua na uchungu moyoni.hadi anaaga dunia.. Haya ndio wengi wanayatafuta na familia zaoNakumbuka awamu ya tatu mkapa alibinafsisha mpaka benki sasa mama sa 100 ukimaliza bandari njoo na treni sgr nayo tumpe mwarabu
Hawaweza kukataa...Wabunge wa fisiemu wanapiga makofi mengi. Hii ngoma imeshapita