Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Safi sana.

Sasa tutaelewa. Kwanini Dubai ni kituo cha biashara cha kimataifa.


Lini DP World wanaanza kutuhudumia bandarini?
 
Dunia ya serikali kufanya biashara inazidi kuwa NYEMBAMBA.....
Binafsi naamini Tanganyika haijafika huko, hata hivyo Kuna mbadala, unaweza kufanyika na kuhakikisha Taifa halipotezi.

Maamuzi ya kubadili wajibu wa serikali kutoka kufanya biashara (katika baadhi ya sekta) kwenda kwenye kuachan na biashara kabisa, na kubaki na upangaji wa sera na regulation ufanyika kitaifa ili kujua wapi tunafanya nini NA nani tunamruhusu atoe huduma ipi.
 
Hatimaye......tusubiri mkeka wa DP world tuanze kuapply kazi hakuna kingine tena 😬😬
 
Baada ya Bandari yetu
nashauri
Kituo kinachofuata
sasa iwe IKULU
kwa kweli tunahitaji mwekezaji ili kuleta ufanisi pia
 
[emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…