Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Mwita Chacha anapendekeza Raisi apewe heshima ya kuitwa mama wa taifa rasmi na kikatiba. Ndo raisi wa kwanza kuleta mkataba kujadiliwa bungeni na hadharani hata Nyerere hakulifanya, mimi na muunga mkono. Mama apewe heshima
Rais wa kwanza kuleta mikataba ijadiliwe hadharani [emoji123][emoji123][emoji123][emoji7][emoji7]

#MamaKaja
#MamaAnaupigaMwingi[emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Bunge nalo liuzwe tu limeshindwa kujiendesha
 
Issue hii haikomei hapa, hao wabunge walipewa mlungula, wale wafurahi na familia zao. Lakini hamtakuwa na amani.
yajayo yanafurahisha
 
Mh.Rais SSH anakua wa kwanza kuruhusu mjadala wa mikataba bungeni.....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hizi kauli zake hapa mwisho basi hili bunge ni takataka tu.

Eti bunge ni la CCM na hakuna mbunge anaeweza kupinga hoja ya mama samia?

Hili bunge ni takataka kabisa.
Sasa kama UPINZANI ni dhaifu bungeni unategemea nini ?!!!

Hata huko kwenye demokrasia....watawala wanatamani kuwa na wabunge wengi bungeni......[emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…