Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Leo nimesikiliza mwanzo mpaka mwisho wa mjadala wa Bunge kuhusu Mkataba huu.

Wahusika wamejitahidi kufafanua vipengele mbalimbali vilivyokuwa vinaleta utata kwa Watanzania.

Kwa maoni yangu, kama maelezo yaliyotolewa na Serikali kuhusu Mkataba huu na ufafanuzi wake ni sahihi, nadhani mkataba huu hautakuwa na mapungufu mengi labda wawe wametuficha Mambo mengine ya hatari yaliyomo ndani ya mkataba huu.

Kipekee nawashukuru Watanzania wenzangu waliotilia shaka mkataba huu tangu uliposambazwa mitandaoni. Reaction ya iliyotokea ndo iliyofanya wahusika kuchambua zaidi Azimio hili kipengele kwa kipengele na kutoa ufafanuzi wa kina.
 
Unataka kutufanyia maajabu ya dunia?!!

TANGANYIKA ilishaoza huko kaburini.....Tanganyika ni HAYATI....[emoji1787][emoji1787]

RiP Tanganyika[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mh.Rais SSH "asiposikiliza" watanzania....kuna nani mwingine atawasikiliza?!!![emoji1787][emoji1787]

Jina lake lenyewe ni "KUSIKIA-KUTAKA SULUHISHO"[emoji123]

#MamaAnaupigaMwingi[emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Tenesco ndo wameanza taratibu
 
Dp ilikataliwa USA kipindi cha G. Mushi kwa hoja za kiusalama hasa Ugaidi.
Umekuja na hili ?!!![emoji1787][emoji1787]

Kwa hiyo kila wanachokikataa US na kukipinga ni lazima iwe kweli kwa dunia nzima?!!![emoji15][emoji15][emoji1787]

Hivi ukiacha sisi tunaotumia bongo ninyi mnatumia viungo gani kufikiria ?!!!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Sio kwamba miradi haiwezi kuendeshwa, tatizo Wala rushwa na wazembe hawawajibishwi kwenye kitu chochote kinachomilikiwa na serikali
Huo ndo mizizi wa fit ina ukimuwqjibisha mtu kwa kuhakikisha amerudisha alichokiiba kwa maceo wawili akili itakaa sawa
 
Ninachojua mimi Mzanzibari ni Mtanzania lakini Mtanganyika sio Mzanzibari. Hivo wazanzibari wana advantage ya kufaidi kote kote. Au mnasemaje wakuu 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…