Ekuweme
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 3,520
- 3,962
[emoji23]Hili ni Bunge au sinema zetu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23]Hili ni Bunge au sinema zetu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa uharo huo!
Kwa ujinga huo!
Kwa unafiki huo!
Kwa uchumia tumbo huo....
Wananchi kama mnajitambua,basi tuseme wazi...
2025 CCM BYE BYE!
TBCFrequency ya redio yeyote inayorusha matangazo haya?
Unataka kutufanyia maajabu ya dunia?!!Nimeshawahi kushauri humu kwamba kwa hatua lilipofikia suala hili, Watanganyika wanatakiwa Kuanzisha MKAKATI MAALUMU NA WA DHARULA WA "KUZIHAMI" BANDARI ZA TANGANYIKA pamoja na Rasilimali nyinginezo za Tanganyika. Suala hili linatakiwa lifanyike mara moja bila ya kuchelewa.
Mh.Rais SSH anakua wa kwanza kuruhusu mjadala wa mikataba bungeni [emoji123]Walionatama Mama afeli ni wengi lakini amewa prove wako wrong.
Na ndivyo Katiba inavyotaka, Magufuli alikuwa anaburuza tu.Mh.Rais SSH anakua wa kwanza kuruhusu mjadala wa mikataba bungeni [emoji123]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Alikuwa sahihi tu....Hili ni mojawapo lilifanya nione JPM hakua na nia njema kuwachukia wapinzani hasa bungeni!!
Mh.Rais SSH "asiposikiliza" watanzania....kuna nani mwingine atawasikiliza?!!![emoji1787][emoji1787]Hapo vip!!
Sitaki niongee maneno mengi kuhusu huu mkataba wa Dp world na mambo ya loliondo,kwasababu mambo mengi yamewekwa wazi dhidi ya ubaya wake kwa watanzania.
Kwasababu samia hataki kusikiliza maoni,madai na malalamiko ya watanzania wanyonge basi kupitia andiko hili watanzania wanyonge tunamkabidhi Mungu malalamiko yetu na tuna imani atatujibu kwa haraka.
Unapuunza maamuzi ya watanzania wengi ukijiona wewe una akili kuliko wao,hakika umejidanganya sana.
Naomba yeyote yule anayekubaliana na kumkabidhi Samia kwa Mungu ashughulike naye comments AMEN.
Mbona walishaanza kitambo !Safi sana.
Sasa tutaelewa. Kwanini Dubai ni kituo cha biashara cha kimataifa.
Lini DP World wanaanza kutuhudumia bandarini?
Siempre SSH[emoji120]Hakuna cha maana ulichoandika hapa zaidi ya michambo na taarabu, hii sio sehemu ninayoiweza hivyo nachagua kukupuuza.
Tenesco ndo wameanza taratibuMwl Nyerere aliwahi kusema huko nyuma kwamba , nanukuu "ANAYEKULA NYAMA YA MTU HAACHI" Mwisho wa kunukuu , kwa tafsiri pana maana ya usemi huu wa Nyerere ni kama ile methali ya wahenga iliyosema MAZOEA HUJENGA TABIA
Kwamba ukizoea kufanya jambo fulani basi utaendelea tu kulifanya hata kama ni baya , ili mradi wewe binafsi au familia yako inafaidika .
Bandari zetu wamepewa Waarabu kibwege kabisa kwa vile tu wenye mamlaka wameamua kuigawa ili wao wafaidike , nakuhakikishieni kwamba hakuta kuwa na ufanisi wowote ule , NIPO HAPA JF NIMEKAA , Yaani tunauza mali zetu kwa ajili ya uvivu tu wa kazi na fikra , yaani tunaamini tu kwamba hatuwezi , ila wanaoweza ni waarabu ! Poor Tanzania !
Tumesahau ya NET GROUP , ATCL , TRL , TTCL na hata RICHMOND , tulitumia nguvu kubwa kushawishi na kudanganya umma kwamba kutakuwa na Tija , leo kiko wapi ?
Haya mmeuza Bandari kwa watu wenu ni Shirika lipi lingine mnafuatia kuliuza ili tujiandae ?
Nakulilia Tanzania .
View attachment 2652644
Kwanini mkataba ufanyikie gizani alafu mnakuja nuruni wakati kila kitu kimepita?Nchi inaongozwa na Mapaka
View attachment 2652647
Umekuja na hili ?!!![emoji1787][emoji1787]Dp ilikataliwa USA kipindi cha G. Mushi kwa hoja za kiusalama hasa Ugaidi.
Huo ndo mizizi wa fit ina ukimuwqjibisha mtu kwa kuhakikisha amerudisha alichokiiba kwa maceo wawili akili itakaa sawaSio kwamba miradi haiwezi kuendeshwa, tatizo Wala rushwa na wazembe hawawajibishwi kwenye kitu chochote kinachomilikiwa na serikali
Rais wa kwanza kuruhusu mikataba kujadiliwa bungeni....[emoji123]Kwahiyo awe mama wa Taifa?