Gautten Potten
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 1,642
- 3,426
Kwa hiyo chadema ndiyo wamembeba mama la mama kwenye bajaji ya sinoray na siyo mfalme wa dubei?chadema kwa uzushi hapana kwa kweli
Hayati Mwl. Julius K. Nyerere alisema unaweza kupewa chupa ukashangilia ukasema umepata almasi, "yanatimia"
Pole snNimeandika nikafuta, nikaandika tena nikafuta
Nashukuru sikuandika nilichokusudia
Namuongezea jinaView attachment 2658890
The president at work
Kimyaaaa.......Ohooo
Yupo Kwa wajomba zakeJionee mwenyewe .
Huku wanatusumbuaga na MAVI ng'ora ila wakienda kwenye nchi za watu wanakuwa wadogo Mithili ya .piliton
View attachment 2658762
Mkuu andika tu hata herufi moyamoya nitakupokeaene wei
nimechoka mim sion chakuandika ata
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Sikomenti chochote mana pesa ya kumlipa Kibatala sina
Hata akiguswa mkeo au mwanao utakaa kimya?Sikomenti chochote mana pesa ya kumlipa Kibatala sina