Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Huo usafiri ulikuwa unatumika Expo City Dubai. Lile eneo ni kubwa sana kutembea maeneo yote ya mabanda ya kila nchi. Hapo nilitembea siku nzima na sikulimaliza kwa mguu. kwa hiyo kuna hivyo vya kukodi hata vintreni vidogo kwa watoto. Chukulia mfano ya uwanja wa maonesho ya Saba Saba, 2km square kwa mtu mzima kutembelea kila banda. Sasa hivi hapo ni mji kabisa kuna majumbanya kuishi, viwanja vya michezo na huduma za kijamii
 
Hayati Mwl. Julius K. Nyerere alisema unaweza kupewa chupa ukashangilia ukasema umepata almasi, "yanatimia"
images (9).jpeg

The president at work
 
Inahitajika strong people kama julius kuface na watu mbalimbali kama hawa.Sasa hivi hapa nchini hatuna..
 
Back
Top Bottom