Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Kwa nini hakwenda nayo Chato ibakie huko huko Kam ni Sgr yake? Kwani tulimuomba ailete Pwani?Kwenye mkataba wa uuzwaji wa bandari zoote za bahari na maziwa, pia tumeuza "all transit corridors" za kusafirishia mizingo kuingia na kutoka bandarini ikiwemo SGR ya Magufuli na barabara zoote! Huu mkataba kwa ufupi umeuza nchi! Watanzania hamkeni! Hakuna aliye salama!
SGR siyo ya Magufuli ni ya WatanzaniaKwenye mkataba wa uuzwaji wa bandari zoote za bahari na maziwa, pia tumeuza "all transit corridors" za kusafirishia mizingo kuingia na kutoka bandarini ikiwemo SGR ya Magufuli na barabara zoote! Huu mkataba kwa ufupi umeuza nchi! Watanzania hamkeni! Hakuna aliye salama!
Wajuzi muangalie vizuri, isijekuwa ni zaidi ya hapo.Kwenye mkataba wa uuzwaji wa bandari zoote za bahari na maziwa, pia tumeuza "all transit corridors" za kusafirishia mizingo kuingia na kutoka bandarini ikiwemo SGR ya Magufuli na barabara zoote! Huu mkataba kwa ufupi umeuza nchi! Watanzania hamkeni! Hakuna aliye salama!
Mkuu tupe clause inayothibitisha hayo ili tusanuke nayoKwenye mkataba wa uuzwaji wa bandari zoote za bahari na maziwa, pia tumeuza "all transit corridors" za kusafirishia mizingo kuingia na kutoka bandarini ikiwemo SGR ya Magufuli na barabara zoote! Huu mkataba kwa ufupi umeuza nchi! Watanzania hamkeni! Hakuna aliye salama!
Kwenye maeneo ya uuzwaji kuna kipengele cha "all habour transit corridors". Transit corridors ni nini zaidi ya njia za usafirishaji! Tafuta hata maelezo ya Tundu Lissu jana naye kaliongelea hiloMkuu tupe clause inayothibitisha hayo ili tusanuke nayo
Mazezeta kama nyinyi kwanini wazazi wenu hawakutumia kondom?Kwa nini hakwenda nayo Chato ibakie huko huko Kam ni Sgr yake? Kwani tulimuomba ailete Pwani?
MwehKwenye maeneo ya uuzwaji kuna kipengele cha "all habour transit corridors". Transit corridors ni nini zaidi ya njia za usafirishaji! Tafuta hata maelezo ya Tundu Lissu jana naye kaliongelea hilo
🙏💯Mazezeta kama nyinyi kwanini wazazi wenu hawakutumia kondom?
Zanzibar ipi?Ukimsikiliza Rostam utaelewa DP world ni TICTS ambayo mkataba wake umeisha majuzi.
Rostam anaye miliki TICTS ndiye anaye pigia chapuo Dp world.
Haya, mmemnyima magati matatu sasa anakuja kuchukua mandari zote za Tanganyika na zanzibar milele..
[emoji1787]
Kwani hana haki ya kuwaleta wawekezaji!Ukimsikiliza Rostam utaelewa DP world ni TICTS ambayo mkataba wake umeisha majuzi.
Rostam anaye miliki TICTS ndiye anaye pigia chapuo Dp world.
Haya, mmemnyima magati matatu sasa anakuja kuchukua mandari zote za Tanganyika na zanzibar milele..
[emoji1787]