Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Kwenye mkataba wa uuzwaji wa bandari zoote za bahari na maziwa, pia tumeuza "all transit corridors" za kusafirishia mizingo kuingia na kutoka bandarini ikiwemo SGR ya Magufuli na barabara zoote! Huu mkataba kwa ufupi umeuza nchi! Watanzania hamkeni! Hakuna aliye salama!
 
Kwa nini hakwenda nayo Chato ibakie huko huko Kam ni Sgr yake? Kwani tulimuomba ailete Pwani?
 
Kwenye mkataba wa uuzwaji wa bandari zoote za bahari na maziwa, pia tumeuza "all transit corridors" za kusafirishia mizingo kuingia na kutoka bandarini ikiwemo SGR ya Magufuli na barabara zoote! Huu mkataba kwa ufupi umeuza nchi! Watanzania hamkeni! Hakuna aliye salama!
SGR siyo ya Magufuli ni ya Watanzania
 
Kwenye mkataba wa uuzwaji wa bandari zoote za bahari na maziwa, pia tumeuza "all transit corridors" za kusafirishia mizingo kuingia na kutoka bandarini ikiwemo SGR ya Magufuli na barabara zoote! Huu mkataba kwa ufupi umeuza nchi! Watanzania hamkeni! Hakuna aliye salama!
Wajuzi muangalie vizuri, isijekuwa ni zaidi ya hapo.
 
Wauze tu, tumechoka mnoo na hii CCM. Soon tutagawana kuni kitu kikiwaka

Taratibu akili za watanganyika huenda zikafunguka muarabu akianza kutandika viboko vya kutosha kwa watoto, vijana na wazee.
 
Kwenye mkataba wa uuzwaji wa bandari zoote za bahari na maziwa, pia tumeuza "all transit corridors" za kusafirishia mizingo kuingia na kutoka bandarini ikiwemo SGR ya Magufuli na barabara zoote! Huu mkataba kwa ufupi umeuza nchi! Watanzania hamkeni! Hakuna aliye salama!
Mkuu tupe clause inayothibitisha hayo ili tusanuke nayo
 
Kwenye maeneo ya uuzwaji kuna kipengele cha "all habour transit corridors". Transit corridors ni nini zaidi ya njia za usafirishaji! Tafuta hata maelezo ya Tundu Lissu jana naye kaliongelea hilo
 
Hameni hyo nchi sio lazima ukizaliwa tanzania uishi tanzania , dunia ya sasa kulialia kwenye nchi moja bila kufanya maamuzi magumu ni kukosa maarifa.
 
Kwa hiyo mwarabu anajenga ushawishi wake Tanganyika, siyo? hatutaki Tanganyika ivurugike na kutumika kuchochea mambo ya ugaidi kwenye ukanda wetu.
 
Ukimsikiliza Rostam utaelewa DP world ni TICTS ambayo mkataba wake umeisha majuzi.

Rostam anaye miliki TICTS ndiye anaye pigia chapuo Dp world.

Haya, mmemnyima magati matatu sasa anakuja kuchukua mandari zote za Tanganyika na zanzibar milele..

[emoji1787]
 
Zanzibar ipi?
 
Kwani hana haki ya kuwaleta wawekezaji!
 
Back
Top Bottom