Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Kwenye mkataba wa uuzwaji wa bandari zoote za bahari na maziwa, pia tumeuza "all transit corridors" za kusafirishia mizingo kuingia na kutoka bandarini ikiwemo SGR ya Magufuli na barabara zoote! Huu mkataba kwa ufupi umeuza nchi! Watanzania hamkeni! Hakuna aliye salama!