tamsana
JF-Expert Member
- Jan 13, 2012
- 3,739
- 8,044
Kwa maelezo yao unaweza kuvunja, natamani wasome hivyo vifungu na waeleze unawezaje kuvunja.Kumbe mkataba unaweza kuvunjwa kama hakutakua na maelewano ya kiutekelezaji
Uchambuzi ni wa kisiasa zaidi kuliko utaalamu.