Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Hahaha mbunge anasema kifungu cha 23 kina ruhusu kuvunjika kwa mkataba!

Lakini mwisho anajarubu kueleza jinsi ambavyo tunaweza kuvunja mkataba lakini bado anashindwa…yani mkataba huu ni kweli hauvunjwi kamwe ni kusuluhishwa kwa kwenda mbele…

Na yeye anathibitisha pasi na shaka kuwa tulichokuwa tunajadili huku ni cha kweli 😂😂😂😂😂😂
 
Kwa maelezo yao unaweza kuvunja, natamani wasome hivyo vifungu na waeleze unawezaje kuvunja.
Uchambuzi ni wa kisiasa zaidi kuliko utaalamu.
Ule hauvunjiki, imeelezwa wazi sana na Wala kukiwa na diplomatic disputes au under performance, Bado huwezi kuvunja huo mkataba
 
Wamwache Mdee aongee kwanza,wasimkatishe.


Hv anavyo ongea Mdee ndivyo inavyo takiwa kuongea, huku ukiwa na reference, sio mipasho.
 
lilipitisha kesi kuamuliwa hapa.
Hizi Mahakama za CCM nani aziamini? zimeshindwa kuwaondoa Wabunge haramu 19 waliofukuzwa Bungeni zinamsubiri Mwenyekiti wa CCM aziamrishe.

Invester anayeingiza Millions of Dollars ya mtaji wake akizulumiwa ndio utegemee atapewa haki na hizo Mahakama za Lumumba?
 
Back
Top Bottom