Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Tumeambiwa tujifunze kusoma, ina maana hatujui kusoma?
 
Tumeshindwa sio na Bandari tu tumeshindwa kuendesha vingi labda kuendesha mauno.
Tumeshindwa kwasababu watalaamu na wenye akili hawako kwenye circle ya uongozi wa nchi, uongozi umeshikwa na wengi wasiokuwa na akili na mawazo bunifu.

Mtu kutoka kuwa msambaza chai maofisini hadi kuwa mkulu wa nchi ataweza nini? Wabunge 80% ni la saba na form four division IV ya 28 wengi, na hata wanaosemekana kuwa ni wasomi wengi walinunua majina ya wenye akili kama Madelu.


Si kweli kwamba Watz hatuna akili kiasi hicho
 
Nampenda Ccm,sipendi wanaccm......sijawahi kumsema magufuli,
Ila Magufuli hapa ulipuyanga tunaitaji hoja fikilishi siyo mapendo ,mahisia,na maelezo....
Jadili kipengele kwa kipengele cha huu mkataba si reviews.....
Tukiendelea na reviews tutakosa kiini,muktadha,behind the seen ya kila neno kwenye mkataba
 
Kama Serikali na Bunge wana nia njema basi Mungu AWAONGOZE lifanikiwe. Na kama watakuwa hawajui madhara au hasara kwa taifa basi Mungu AWASAMEHE. Pia kama watakuwa wanajua athari na hasara kwa taifa au kama kutakuwa na Maslahi binafsi basi namuomba MWENYEZI MUNGU AWAADHIBU NA UZAO WAO NA AWANYIME AMANI MAISHA YAO YOTE. SIMPANGII MWENYEZI MUNGU ILA YEYE AWALIPE SAWASAWA NA MATENDO YAO KWASABABU ANAYELISALITI TAIFA LAKE SIO MTU MWEMA.
 
Yan wamemtoa Mdee hao wengine siwaelewi wanachoongea kwakweli halafu hutasikia taarifa taarifa au wakikatishwa kama walivyomfanyia Mdee.
Yaani Halima peke yake ndio ametoa hoja kitaalamu the rest ni siasa tu Samia Samia hamna hoja na wamemblock Halima makusudi
 
Back
Top Bottom