Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Waliosoma/ tuliosoma Historia tunafahamu Simulizi ya kile kilichoitwa Mkataba wa Kitapeli baina ya Chifu Mangungo wa Msovero na Mwakilishi wa Serikali ya Ujerumani Carl Peters.
Tulikaririshwa kuwa Chifu Mangungo alitapeliwa ktk nakubaliano hayo!
Ukiangalia Kwa umakini kilichofanyika baada ya kabla na hususani baada ya Uhuru jakina tofauti na kilocjofanywa na Wajerumani!
Ukiangalia uendeshaji wa uchumi hata baada ya uhuru bado ulikuwa mikononi mwa wageni!!
Utawala ( maamuzi na utekelezaji) bado ninwa wachache ..wengine ni bendera upepo!
Uhalisia wa kufanana Kwa Mikataba ya Chifu Mangungo na wageni baada ya Marekebisho ya Uchumi naKisiasa katika mika 1990 ambapo Serikali iliinhia ubia na Wawekezaji wa nje.Wageni Hawa Ndio wanaomiliki nankuhodhi Uchumi..Kqma ilivyokuwa Kwa Chifu Mangungo!
Wajerumani waijenga Barabara,Hospitali na Shule kule kilosa,ambazo mpaka Leo zipo!
Leo hii tunaingia kwenye UBIA wa kuendesha Bandari .Pamoja na shinikizo kubwa kutoka nje lakini Wabunge wanajinasibi kuwa wao wanpitisha Kwa niaba yetu!.
Hicho ndicho alichofanya Mangungo aliwawakilisha wananchi wa Msovero!
Bila shaka Kwa tunachofanya Sasa tusiendelee kumtusi huyu Mzee kuwa alituuza! Yeye aliona miaka 100 mbele!
Hebu tufute Historia ya udhalilishaji Kwa mwamba huyu!
 
Wengi wa wachangiaji wa CCM ni wasomi wakiwa wameshashika vyeo vikubwa na hivyo wanaweza kupitisha hili azimio kwa hoja zenye mashiko.

Upinzani unahitajika sana kwa maana ya wasomi wenye substance na uwezo wa kujenga hoja za kueleweka.
 
Kama Serikali na Bunge wana nia njema basi Mungu AWAONGOZE lifanikiwe. Na kama watakuwa hawajui madhara au hasara kwa taifa basi Mungu AWASAMEHE. Pia kama watakuwa wanajua athari na hasara kwa taifa au kama kutakuwa na Maslahi binafsi basi namuomba MWENYEZI MUNGU AWAADHIBU NA UZAO WAO NA AWANYIME AMANI MAISHA YAO YOTE. SIMPANGII MWENYEZI MUNGU ILA YEYE AWALIPE SAWASAWA NA MATENDO YAO KWASABABU ANAYELISALITI TAIFA LAKE SIO MTU MWEMA.
Aminaaaa
 
Wameanza upande wa serikali sasa, mawaziri na ma naibu waziri.
Kumekuchaaaaa!!"
 
Kuna msomi ndani ya ccm? Ukiwa kwenye hicho Chama unaogeshwa Maji ya bendera
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wewe tukana tu....halafu kipindi cha kampeni mnatufatafuata kutuomba "bakshishi" za bia.....walimu wetu bana [emoji1787]


#MnywaMajiYaBenderaApa[emoji23]
 
BAVICHA na BAWACHA hamtaki kukubali mtu wenu alipoteza mvuto na kibali Cha wapigakura kuwepo bungeni.
 
IMG_8022.jpg


Dignity
 
chiefwheep leo yuko wapi naona spika kajigeuza mtetezi na mfafanuzi wa hoja za serikali
Spika wa hovyo kabisa. Ni aibu kwa taifa hili na disgrace kwa bunge. Anyways hata bunge lenyewe ni disgrace. Takataka kabisa.
 
Afadhali waiweke tumsikilize mwamba mzalendo pekee anaeitetea tanganyika kutokuuzwa na wazanzibari kuliko kuwasikiliza waiba mapambio ya kusifu na kuabudu hoja za serikali dhidi ya wananchi.
Mbunge mmoja kasema alikuwa mshauri mzuri wa Magu kuvuka salama ktk suala la COVID-19 japo sii kweli.
Lakini kwa maana hii ni kama anaseana samia ndiye mshauri wa ukatili wa mauaji ya Magu na kila kibaya kilichotendeka
 
Waitara anafufua madudu ya Chama chake kuficha mikataba, hata huu mkataba wanajadili walichoelekezwa na mkuu wao wa nchi kwakua tu lilipamba Moto mitandaoni. Nitaandamana kupinga huu mkataba hata peke angu
Uache kufundisha tuisheni uandamane ?!!!

Haya kupanga ni kuchagua....

DP WORLD hiyoooo inakwenda "kuwaongezea" mishahara walimu wetu......[emoji1787]

#MamaAnaupigaMwingi[emoji120]
 
Back
Top Bottom