Waliosoma/ tuliosoma Historia tunafahamu Simulizi ya kile kilichoitwa Mkataba wa Kitapeli baina ya Chifu Mangungo wa Msovero na Mwakilishi wa Serikali ya Ujerumani Carl Peters.
Tulikaririshwa kuwa Chifu Mangungo alitapeliwa ktk nakubaliano hayo!
Ukiangalia Kwa umakini kilichofanyika baada ya kabla na hususani baada ya Uhuru jakina tofauti na kilocjofanywa na Wajerumani!
Ukiangalia uendeshaji wa uchumi hata baada ya uhuru bado ulikuwa mikononi mwa wageni!!
Utawala ( maamuzi na utekelezaji) bado ninwa wachache ..wengine ni bendera upepo!
Uhalisia wa kufanana Kwa Mikataba ya Chifu Mangungo na wageni baada ya Marekebisho ya Uchumi naKisiasa katika mika 1990 ambapo Serikali iliinhia ubia na Wawekezaji wa nje.Wageni Hawa Ndio wanaomiliki nankuhodhi Uchumi..Kqma ilivyokuwa Kwa Chifu Mangungo!
Wajerumani waijenga Barabara,Hospitali na Shule kule kilosa,ambazo mpaka Leo zipo!
Leo hii tunaingia kwenye UBIA wa kuendesha Bandari .Pamoja na shinikizo kubwa kutoka nje lakini Wabunge wanajinasibi kuwa wao wanpitisha Kwa niaba yetu!.
Hicho ndicho alichofanya Mangungo aliwawakilisha wananchi wa Msovero!
Bila shaka Kwa tunachofanya Sasa tusiendelee kumtusi huyu Mzee kuwa alituuza! Yeye aliona miaka 100 mbele!
Hebu tufute Historia ya udhalilishaji Kwa mwamba huyu!