Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Rais Mwinyi alipoingia madarakani alikuja na swaga ruksa . Ikawa ruksa kuiba na kujipigia madili mpaka dhahabu zikawa zinakamatwa airport.

Leo tuna rais Kutoka upande wa pili yanajirudia yaleyale.

Mpaka ardhi ya Tanganyika inabinafisishwa
acha unafiki wewe
 
Jamii ya watanzania ijazoea kiwekewa vitu hadharani na kufikia muafaka kwasbb asilimia 90% ya 60m za watanzania hawana 'independent mind' wanategemea viongozi wao hasa wa Dini.

Kiutaalamu yale makubaliano kati ya DP world na serikali ya Tanzania hayana matatizo yoyote kwa wale wanao jua mikataba, inafanana na mikataba mingi ya kima taifa ila wachochozi wana potosha jamii kwa masirahi yao binafsi, kwasbb wanajua jamii sio makini ni ya mihemko na ushabiki, kuanzia Nyerere Mwinyi Mkapa na mwendazake hamna Raisi alio wahi kuweka mkataba wazi, Mama anaujumiwa na kikundi maalumu ndani ya nchi.
 
🤣🤣🤣🤣Kila mmoja hutoka pangoni kuja na utetez!! Imagine hao wasomi na wanasheria wanaonekana wasiojua lugha na mambo ya mikataba!! Hongeren uvccm nyie ni akili kubwa!!
 
Utaratibu wa kulijadili suala nyeti kama la Bandari zetu na Mkataba wa DPW-Dubai umeingia ukakasi wa kutisha.
Spika n uongozi wake ulitoa SIKU MOJA, kama taarifa(notice) ili watu walijadili kitaifa.

Wabunge wetu wameonekana kutokuwa serious.
Na wameliweka suala la Bandari kama mkakati wa chama tawala, hivyo michango ikawa ya kitoto kitoto kama ambavyo tulimsikia mbunge kwa mfano yule wa Musoma Mwita Waitara, na wengine waliolichukulia swala la Bandari kimasihara.

Tumeona wasmi waliobabea, kina Prof Tibaijukawalivyoudadavua mkataba, ambao kama utasahihishwa , utalisaidia Taifa.
Hongera zake mama Tibaijuka na wengine waliousoma mkataba na kuwa na critical analysis ya ukodishwaji wa bandari kiujumla.

Hapo ndio najiuliza, spika Tulia na Bunge lake ni maboya?

Bunge linakuwa na mentality ya Msukuma?
Its a pity!!

Sikutegemea Bunge lingekuwa hovyo kitaaluma kama lilivyo sasa.
 
Kuna wasiwasi mkubwa kuwa SSH hajui hata alichosaini. Masikini SSH ameabisha taifa, watanzania na amedispoint wanawake na watoto wa kike wenye ndoto za kugombea nafasi kama yake in future.
 
Kuna wasiwasi mkubwa kuwa SSH hajui hata alichosaini. Masikini SSH ameabisha taifa, watanzania na amedispoint wanawake na watoto wa kike wenye ndoto za kugombea nafasi kama yake in future.
Bado ana nafasi ya kugeuza meza. As long as hawajakabidhina ractified doc, she can stop at that step/point.
sasa ame mute as if hakuna kitu kinachoendela, means anajua anachofanya makusudi kabisa
 
Ajulie wapi !! Haya mamikataba mpaka ukute Mkuu mwenyewe ana upeo mkubwa Kisha anachanganya na mawazo ya wanaomzunguka.

Sasa sahizi ni mwendo wa KUSAINI TU
 
Kuna wasiwasi mkubwa kuwa SSH hajui hata alichosaini. Masikini SSH ameabisha taifa, watanzania na amedispoint wanawake na watoto wa kike wenye ndoto za kugombea nafasi kama yake in future.
Ule mkataba ukiusoma mara mbili au tatu utagundua muandishi ni Mwarabu wa DP world. Na Mbarawa ni mtia saini tu!
 
Back
Top Bottom