Vibe... huu ujinga wako mbona haukomi!Yaani mafisadi kina rostam yanakuwa na sauti kwenye nchi yetu ya Tanganyika?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vibe... huu ujinga wako mbona haukomi!Yaani mafisadi kina rostam yanakuwa na sauti kwenye nchi yetu ya Tanganyika?
acha unafiki weweRais Mwinyi alipoingia madarakani alikuja na swaga ruksa . Ikawa ruksa kuiba na kujipigia madili mpaka dhahabu zikawa zinakamatwa airport.
Leo tuna rais Kutoka upande wa pili yanajirudia yaleyale.
Mpaka ardhi ya Tanganyika inabinafisishwa
🤣🤣🤣🤣Kila mmoja hutoka pangoni kuja na utetez!! Imagine hao wasomi na wanasheria wanaonekana wasiojua lugha na mambo ya mikataba!! Hongeren uvccm nyie ni akili kubwa!!Jamii ya watanzania ijazoea kiwekewa vitu hadharani na kufikia muafaka kwasbb asilimia 90% ya 60m za watanzania hawana 'independent mind' wanategemea viongozi wao hasa wa Dini.
Kiutaalamu yale makubaliano kati ya DP world na serikali ya Tanzania hayana matatizo yoyote kwa wale wanao jua mikataba, inafanana na mikataba mingi ya kima taifa ila wachochozi wana potosha jamii kwa masirahi yao binafsi, kwasbb wanajua jamii sio makini ni ya mihemko na ushabiki, kuanzia Nyerere Mwinyi Mkapa na mwendazake hamna Raisi alio wahi kuweka mkataba wazi, Mama anaujumiwa na kikundi maalumu ndani ya nchi.
Bado ana nafasi ya kugeuza meza. As long as hawajakabidhina ractified doc, she can stop at that step/point.Kuna wasiwasi mkubwa kuwa SSH hajui hata alichosaini. Masikini SSH ameabisha taifa, watanzania na amedispoint wanawake na watoto wa kike wenye ndoto za kugombea nafasi kama yake in future.
Ule mkataba ukiusoma mara mbili au tatu utagundua muandishi ni Mwarabu wa DP world. Na Mbarawa ni mtia saini tu!Kuna wasiwasi mkubwa kuwa SSH hajui hata alichosaini. Masikini SSH ameabisha taifa, watanzania na amedispoint wanawake na watoto wa kike wenye ndoto za kugombea nafasi kama yake in future.
Tunamshukuru sana aliyevujisha mkataba, ilikuwa siri kubwa hadi AG hakujuaKuna wasiwasi mkubwa kuwa SSH hajui hata alichosaini. Masikini SSH ameabisha taifa, watanzania na amedispoint wanawake na watoto wa kike wenye ndoto za kugombea nafasi kama yake in future.