Frank I Ritte
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 1,003
- 1,350
Ikiwa mkuu wa nchi ndio hivi walio chini yake ataweza kuwanyooshea kidole kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikiwa mkuu wa nchi ndio hivi walio chini yake ataweza kuwanyooshea kidole kweli.
Itaingia kwenye rekodi ya kudumu. Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania 2020-2025 limeridhia kuuzwa kwa bandari zetu bure kwa waarabu wa DP World!! Nasema ni bure maana hawajaainisha manufaa yoyote tutakayopata wala hawajaainisha huyo mwarabu atawekeza kiasi gani cha pesa!! Ukisimuliwa huwezi kuamini lakini ndio ukweli wenyewe!!
Wameenda mbali zaidi wanataka kufanya marekebisho ya sheria inayozuia mgeni kumiliki ardhi ili huyo mwarabu amiliki pia ardhi ambako kuna bandari zetu!! Inatia kisirani sana!! Sultan Mangungo tutasema hakuwa na elimu, je hili bunge lililojaa wasomi tutasemaje? Lazima kuna "kitu kikubwa" wamepewa hawa!! maana si kwa kujitoa ufahamu hivyo!! hawana aibu! Wabunge mtaficha wapi sura zenu!!
I am so proud of my fellow Tanzania on this.
Tumeamka Kwa pamoja na asilimia kubwa tunaongea lugha Moja ya kutetea rasilimali zetu. Tusiwe selfish, tufikirie vizazi vijavyo siku tukiondoka hapa duniani
Tena kama kafika mpaka huko, msomi yule, kama hajafika kutembelea (University) chuo kikuu cha kwanza na (Library) maktaba ya kwanza duniani atakuwa kafanya kosa kubwa sana. Jionee:Sio alienda Morocco kuhusu masuala ya dini??
Afteral serikali imeshaweka trilioni moja toka world bank kwa hiyo inapaswa kuwa na zaidi ya 90%25% ni kubwa sana labda 2.5%
Kama una kampuni usingetoa 25% kama wewe ndio mwenye mali aisee 25 ujue ni robo hiyo
Imagine ni kama umewapa miguu mpaka kwenye magoti
Mimi ningewapa kiganja tu
Nina kampuni najua maana ya 25%
Chukua ukauchambieMkataba wa Dp world upo sawa, wasioutaka ni mafisadi waliokuwa wanapiga bandarini. Mafisadi wote wapuuzwe
Nawasilisha