Dodoma: CCM yaitisha viongozi wake wote nchi nzima kuanzia Dec 07

Dodoma: CCM yaitisha viongozi wake wote nchi nzima kuanzia Dec 07

Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2020
Posts
2,823
Reaction score
2,466

TANZANIA CHAMA NI KIMOJA TU CCM
IMG-20221203-WA0055.jpg
IMG-20221203-WA0056.jpg
IMG-20221203-WA0054.jpg
IMG-20221203-WA0057.jpg
IMG-20221203-WA0058.jpg
 
Kiukweli CCM Ni chama Bora kuwahi kutokea hapa Duniani. Wapinzania hawaelewi wafanyaje na hiki chama kinachokubalika na kila mtanzania mwenye akili Timamu
 
Kiukweli CCM Ni chama Bora kuwahi kutokea hapa Duniani. Wapinzania hawaelewi wafanyaje na hiki chama kinachokubalika na kila mtanzania mwenye akili Timamu
Mku ukisema wapinzani hawaelewi wafanyeje kumbuka mkutano ulioitishwa ni kwa ajili ya kuja kujibu hoja za wapinzani na Chadema kimeshasema mwisho wa maridhiano ni mwezi huu ujanja wa kuridhiana hatuna ila ujanjaujanja na wao wameshakuwa wajanja.
Tujiandae kujibu hoja tuu kwani tusidharau wapinzani wakati tunawaogopa ktk hoja kwani uwazi humweka mtu huru.
Tunashindwa kuwa huru hata pale kuvaa sare za chama kuendana kushindwa kujibu hoja na huwa tunajipa moyo tuko vizuri kumbe wapi njoo huku mashinani kwani wengi wetu hatupo huko zaidi sana ni kujilisha upepo.
Hivi viongozi wetu kuzuia mikutano kwa wapinzani hasa Chadema yote haya ni pale kushindwa kujibu hoja kwani wanamashiko ktk hoja zao tukumbuke zingine ni aibu kwa chama.
 
Kiukweli CCM Ni chama Bora kuwahi kutokea hapa Duniani. Wapinzania hawaelewi wafanyaje na hiki chama kinachokubalika na kila mtanzania mwenye akili Timamu
akili timamu ndege ingekamatwa kule uholanz,akili timamu umeme ungewa wa mgao kila siku, akili timamu mngepora uchaguz, akili timamu kungewa na mgao wa maji miaka zaid ya 60 toka uhuru, akili timamu mngevalisha wajinga wenzenu tshirts za chadema kule lindi, akili timamu mngekopa kwa mabeberu kila siku wakati haohao mabeberu hamuwataki ila hela zao, akili timamu mngezuia mikutano ya hadhara kwa nguvu na kutumia polis wasiojielewa.Kifupi ccm ni genge la kiharifu na wapumbavu kuliko magenge yote dunian.
 
Back
Top Bottom